mtaalamu wa mambo ya saikolijia akimpa maelezo mdau aliyetembelea banda la chuo kikuu cha Univdersity of Dar es salaam leo ambalo hadi tunaenda hewani habari zimesema banda hilo limeshinda nafasi ya kwanza katika tasnia ya utafiti
Chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa University College
of Education MUCE), zamani Mkwawa High School

wadau wa shule kuu ya uandishi wa habari ya UDSM nao wapo

mtaalamu wa botany akielezea utafiti wa ukulima wa nyanya maeneo ya pwani ambao kasema umeonesha maendeleo mazuri na kwamba muda si mrefu wakaazi wa sehemu kama Dar, Tanga na Mtwara na sehemu zingine za pwani watakuwa na uwezo wa kulima nyanya na kuondokana na utegemezi wa zao hilo toka mikoa mingine
wadau wa chuo kikuu kishiriki cha Dar es salaam University College of Education (DUCE)






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...