Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akitembelea mojawapo ya mabanda ya wafanyabiashara wa kutoka China kwenye maonesho ya SabaSaba jijini Dar leo. Kuume ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. William Lukuvi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2010

    naona mh PM anakagua DEATH TRAPS a.k.a mashine za kukata miguu,hadi tuje kushtuka 20% ya vijana watakuwa VILEMA kwa ajali za pikipiki mbofumbofu,mark my word,i will remind you after 5yrs

    ReplyDelete
  2. kaka hapo juu tatizo si pikipiki ila tatizo ni vijana wetu ambao siku nne tu ni dereva ilo ndilo tatizo haswaa angalia wazee ambao wanatumia hizo pikipiki mbona hawapati ajali kama wale vijana cha msingi tuangalie utaratibu wa leseni zetu tatizo ni kubwa lakini vijana wengi hata leseni hawana ndoo maana ukimkodi kwenda mjini au palipo na matrafiki hata umpe laki haendi watu wanaangali hali ya uchumi unvyokwenda pikipiki ya japani 250cc ni milioni saba nani atanunua hata akinunua bila madareva waliohitimu ajali ni vilevile ni hayo tu kwa leo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...