Mtoto Rehema Ismail Nyagawa (pichani) anawasalimia Mama yake Tully Mwakasisi, Baba yake Ismail Nyagawa, Mjomba yake Peter Mwakasisi, Bibi yake, Anna Itenda wa Idara ya Habari Maelezo na Wafanyakazi wote wa idara ya Habari na Waandishi wa Habari wote nchini Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2010

    wow katoto kazuri kweli na kana afya njema na furaha tele.just curious anawasalimia baba na mama yake,je anaishi na nani hadi kuwasalimia wazazi wake thru michuzi blog??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2010

    kitoto hiki kisweetie kweli full mvuto, hongera mama mzaa chema

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2010

    She is cute ...nafungua blog yangu soo just for babies ...Nitatuma details hapa hapa soon...

    najua watoto wote ni wazuri lakini I will put different prizes every now and then to my bloggers stay toon

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2010

    So cute maen!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 15, 2010

    Oooohh! Very very cute. Hongereni wazani, mshukuruni Mungu. Be responsible parents! safiiiiii

    ReplyDelete
  6. Anon wa kwanza nimekupenda na comment yako.Mtoto cutie sana hongera baba na mama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...