Home
Unlabelled
SILAHA HARAMU KUTOKA MIKOA MBALIMBALI NCHINI ZATEKETEZWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Viwanja vya kandanda mnachomea silaha, hapo tutaenda world cup kweli?? Tunajitia nuksi!!
ReplyDeleteHakuna sehemu nyingine ya kutekezea huo mzigo??
Imekuwaje silaha kuchomwa kwenye Uwanja wa mpira? au macho yangu
ReplyDeletebongo kweli sio mchezo.., yani pamoja na maeneo yote ya wazi hapo Dodoma hawakuona sehemu ya kwenda kuchoma hizo silaha wakaona wakaharibu uwanja wa soka.., hata kama patarekebishwa hawaoni itakuwa wameingiza gharama zisizo za lazima kwenye bajeti..?? hiyo ndio bongo bwana vitu kama hivi hatutakiwai kuvishangaa sana..
ReplyDeletekaka michuzi mimi naunga mkono hayo maangamizi ya silaha haramu zilizopatikana kinyume cha sheria.
ReplyDeletejambo ambalo sikubaliani nalo ni jisi hizo silaha zilivyoteketezwa kwa kuchomwa na moto hadharani,moja labda njia ni kuonyesha umma kwamba silaha zimeteketezwa.ila wangeweza kufanya tofauti kididogo, morogoro kuna kiwanda cha jeshi labda wangetumia kiwanda hicho kwa kuzikatakata hizo silaha kwanza halafu jamii ya vyuma ikayayushwa na kufanyiwa kazi nyingine.
kwasababu moshi wa hizo silaha huwenda una madhara makubwa ambayo unaweza usiyaone pale kwenye (photo opportunity).kwa jamii ya watanzania hususan wakazi wa mji kasolo bahari ambao wengi ni wa maisha yakawaida.
nafahamu lengo ni zuri sana,ila inatubidi tubadilishe utaratibu na hiyo itatusadia kulinda afya za watanzania waliowengi.
mdau washington
mbona hamna AK47,M19,M4,G3 au jeshi njaa kali mkikata mnachukua, kama mapambo sababu hamna NATO standard ammunitions 5.56mm
ReplyDeletechoka mbaya mnachoma magobore ya wanavijiji ya kulindia mashamba yao eti ohh ni majangili wakati CHINA imeiingia bongo sasa biashara ya pembe imeshamiri mnajifanya kujikosha na hii publicity stunt!*$#?
sasa hapa ankali michuzi hii ni nini???yaani wamekosa eneo lingine safe la kuchomea hizo bunduki mpaka waende kuzichoma kwenye uwanja wa mpira wa jamhuri,HIVI HAWA WATU WANA AKILI GANI???HALAFU LIGI IKIANZA MWEZI UJAO NYASI ZOTE CHALII NA TUANZE KUTUMIA UWANJA USIO NA NYASI ITS VERY BOARING KUONA WATU HAWATAKI KUTUMIA HATA AKILI KIDUCHU WALIZOBAKI NAZO KICHWANI....
ReplyDeleteINABOA SANA
Kwanza napongeza hatua hii. Ila nawaza kulikuwa hakuna sehemu nyingine ya kuteketeza silaha hizi zaidi ya kwenye dimba la uwanja? kwa ubora wa haya majani na vipara vitakavyoachwa na moto, sidhani kama kiwanja kitafaa kuchezewa soka hivi karibuni. labda kama ndo tunaanza kukipeleka kuwa kiwanja cha barafu kama vingine vingi
ReplyDeletehii nchi kweli siasa ni noma yaani mpk sherehe na mgeni rasmi kuchoma silaha..
ReplyDeletehalafu sijui hawa watu wanaakili gani mpk kuchoma moto ndani ya uwanja wa michezo kwanini wasiende maporini?? looh
Wajameni huu uwanja utasalimika kweli? Maana najua umezoea nyayo na njumu za wananchi, ila this time naona ni harakati za punda afe mzigo ufike style. Bongo tambarare.
ReplyDeleteNamna hiyo huo uwanja hauharibiki?
ReplyDeleteNi Vizuri Kuteketeza silaha haramu, lakini na hizo nyasi za uwanja nazo!!???
ReplyDeleteK.O.R.
Haki ya nani sisi sijui akili zetu tunapeleka wapi, kuna ulazima gani kuzichomea uwanjani, huo si uwanja wa michezo na kutunza nyasi ni shuguli pevu, ina maana walikosa sehemu ya kuzichomea mpaka wachomee uwanjani, jamani hii inaudhi sana!
ReplyDeletehivi tanzania imeshindwa kufikiria njia nzuri ya kurecycline instead kuchoma moto, ikiwa nchi yeneyewe inaharib air pollution raia wafanyeje
ReplyDeleteJamani, huu si ni uwanja wa michezo? Kwa nini zoezi kama hili lifanyike hapo? Huo uharibifu wa hiyo "pitch" unaofanywa na zoezi hili nani anaugharamia? Huo moshi unaoenda kusambaa hapo nje ya uwanja ambapo kuna makazi ya watu tunajua athari zake??? Yani tumekosa kabisa maeneo ya kufanyia mambo kama haya??!! It's a great shame!!!!
ReplyDeleteHIVI HII KWELI NI HAKI, NANI MUAHALIBIFU HAPA, WHY KUCHOMA NYASI ZA UWANJA AMBAO UNAGHARAMIWA KILA SIKU KWA KUMWAGILIWA MAJI. MBONA NENO MAENDELEO HALIELEWEKI NA VIONGOZI WAZIMA WANAKUBALI KUTURUDISHA NYUMA KWA FAIDA ZAO TU, ETI AONEKANA MTENDAJI KAZI. HIVI NI KWELI MOROGORO HAMNA SEHEMU NYINGINE ZAIDI YA HAPO JAMHURI STADIUM. WHY MKUU WA MKOA MZIMA UNAKUBALI KUCHOMA SILAHA HAPO HUONI KAMA NI UHARIBIFU WA MAZINGIRA...
ReplyDeletevery good move indeed! but damn, did they have to do it inside the stadium?
ReplyDeleteAisee si nilshawahi kusikia eti jeshi la polisi halina silaha za kutosha, sasa kwea nini wanachoma.
ReplyDeleteUchaguzi huu umekuja na staili mpya. Mara silaha haramu zinachomwa uwanjani, mara foleni Dar= Maendeleo. Mara mabosi wa TRA wamekuwa -arrested kwakutafuna fedha za umma, sijui itakayokuja sasa ni nini labda majambazi sugu kukamatwa. Yaani kwakipindi cha mwezi na kadhaa kuna pilikapilika kuliko miaka mitano iliyopita. Haya tuleteeni tuone.
ReplyDeleteHakuna umasikini mbaya kama uwezo mdogo wa kufikiri...Mwl Julius Nyerere.
ReplyDeleteYAANI CASHE HIYO YA SILAHA INATOSHA KABISA KUPINDUA NCHI
ReplyDeleteKwa nini na fedha haramu za EPA hazikuchomwa?
ReplyDelete(US Blogger)
Yaani hawa wajapan nao wameshakuwa na akili mbovu siku hizi! Yaani wana-support matumizi mabovu ya akili kama haya ya kuchoma bunduki kwenye uwanja wa michezo? Au huyo balozi ametuona wajinga mpaka amekuja na kamera kupiga picha kabisa huu ujinga.. Duh hii ni kali. INABIDI TFF WATOE TAMKO LA KULAANI HIKI KITENDO CHA UHARIBIFU WA MAZINGIRA YA MCHEZO. NEMC NAO WATOE TAMKO JUU YA AKILI HII YA KUHARIBU MAZINGIRA.. Tena cha kuchekesha eti serikali ya Japan ndio imesaidia hili zoezi la kuchoma silaha .. Yaani hata kuchoma silaha mpaka msaada???Duh sina hamu.
ReplyDeleteMtoa jasho.
Ushauri wa bure, siku nyingine hizo bunduki zigawanywe hivi: Vyuma vya mbele viondolewe na kupelekwa kwenye sehemu za vyuma chakavu; sehemu ya nyuma yenye mti wapewe mama lishe kwa ajili ya nishati ya kupikia.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Jamani yote tisa kumi AFYA AFYA AFYA. Kweli hawajui kwa kuchomwa hivyo moshi una athari kubwa mwilini?kwanza tujiulize mganga mkuu wa mkoa alialikwa au anataarifa ya shughuli hiyo?na alisemaje manake baada ya siku mbili pesa ya mlipa kodi itatumika kutibu wagonjwa hasa watoto na kina mama wajawazito ambao hawatakiwi kuchangia chochote katika huduma ya afya.
ReplyDeletemdauuuuuuuuu
Hivi tunahitaji Degree kujua kwamba ukichoma silaha uwanjani unaharibu uwanja wa michezo? Hivi......kha! astakhafirulah nchi yangu!!
ReplyDeleteThe BUZZ word in developed country is
ReplyDeleteRECYCLE,RECYCLE,RECYCLE,RECYCLE,RECYCLE,RECYCLE,RECYCLE,RECYCLE,RECYCLE,RECYCLE
labda hivi ndio itaiingia kwenye akili ya mtanzania
CHINA inaoongoza kwa kununua takataka za dunia nzima na kurecycle
halafu zinarudishwa zilikotoka kama bidhaa mpya.
hahaa Jamani tuwe waungwana na wakweli, tuipongeze serikali kwa hatua waliyoichukua, kwanza kukamata izo silaha, pili kuzichoma hadharani.
ReplyDeleteKuhusu uwanja??mmh, kusema ukweli hata nyasi zenyewe hazikuwepo kabla ya huo moto, labda kama twajisikia kuchonga tu.
Mdau,bongo.
Tundiko langu ulibana.....
ReplyDeletehakuna haja ya kuchoma hizo silaha:
Mosi, zitengezwe samani, kama huko Msumbiji.
Pili, zipelekwe kwenye Museum ya Polisi...na kama hakuna, Polisi ijenge moja na kuweka kumbukumbu hizo!
BAP