Ukimuona uwanjani akicheza utadhani Edwin Van der Sar wa Man Utd au mzee mzima Fabien Barthez la hasha kwa jina anaitwa Fazle Abbas amezaliwa Tanga, Tanzania na alikuwa best goal keeper mwaka 2005 ktk shule ya popatlal.
Kwa sasa anachezea Semi Professional kwenye club daraja la kwanza ya Tokyngton Manor Football Club kwenye league ya Spartan South Midlands Football League Division 1 UK.

Alipokuwa Tanzania alikuwa ana train na Coastal Union chini ya kocha marehemu Zakaria Kinanda na alicheza na kina Said Muhando.
Tukirudi ktk kabumbu la Kitanzania, Tanzania tuna matatizo ya goal keeper na isingekuwa vibaya kama Uongozi mzima wa Tanzania Football Federation na Coach wa Taifa Stars aweze kumuita kwenye team yetu kwani ana experience ya kutosha kucheza National Team na itasaidia kupunguza Taifa Stars kugeuzwa kichwa cha wandawazimu kila kukicha.

Kwa mawasiliano naye anuani ndio hii fazleabbas2@hotmail.com
kaka ulikuwa kwenye mnuso nini naona umechelewa kuweka post zetu !!
ReplyDeletekudaddadeku zenu mtajitangaza sana mwaka huu kocha yeye anawajua wachezaji anaowataka wewe endelea kubeba box kama ungekua bora usingeombaomba kucheza kajitim kanako lipa kidogo ungekua mzuri wangekuchukua hukohuko cos ulaya hakuna majungu cha muhim wewe ongeza bidii ukifikia huo uziri utaonekana bila kujibandika mwenyewe huku kwenye michuzi
ReplyDeletethats all
Kama analipwa huko sioni faida ya kumwambia sijui taifa wamuite...Mbona team kubwa hizi tumeziona kwenye world cup wamezaji wengi wanacheza nchi za nje ikifika michezo mikubwa ya kuitetea nchi yao ndio wanarudi home..
ReplyDeletekama huko ni good mwache akae huko huko kama analost basi mwambie arudi na CV yake nyumbani...Mmesahau mchezo ni professional kama professional zingine na nikuchangamka na kutafuta kazi sio kungojea kuitwa tu...
huyu keeper atakuwa mzeeee tu...alafu kama anaishi ulaya ...angesikika tu...kama mdau alivyosema wee beba boksi tu kwani zali lako halipo
ReplyDeleteMichuzi una uhakika kama huyu kipa bado ni Mtanzania?
ReplyDeletethe guy is gd..na kama ni matanzania kweli sioni kibaya akiitwa taifa stars kwan hao waliopo ni big shame zaidi ya majina tu mtaani.its time for some fresh blood co zle za kila cku zilizozoea kubebwa na vyombo vya habar eti flan angedaka tusingefungwa!!!!HATA HAO WANAODAKA SASA HIVI WANAFUNGWA NYINGI TU so endapo naye hatakuwa mzuri basi itakuwa ni kitu cha kawaida kwetu bt ITS WORTH A TRY!!!!!
ReplyDeletehii post haijakaa vizuri
ReplyDeleteTZ kwa wivu!
ReplyDeleteWangapi wapo nje wala awaonyesha moyo wa kuchangia maendeleo nyumbani?
Fazle ajasema anataka kutelekeza anapocheza kwa sasa, bali anapenda kuchangia kwenye timu ya taifa kama atapewa nafasi.
Akifanikiwa kuchezea timu ya taifa na kujiendeleza anapochezea kwa
sasa, ataitangaza TZ na vipaji vya wa TZ vitafahamika.
Manufaa sio kwake tu bali kwa taifa zima pamoja na wanamichezo.
wenye moyo na uwezo wapewe nafasi.
Fazle Abas hongera sana, usikate tamaa.
God bless u
usanii mtupu....
ReplyDeletenimezoom picha naona mzungu
kkama kweli mbona anaweka picha duni... anaturingishia uwanja...
Hata bongo tunalo stadiumu la nguvu ALITUJENGEA.. MKAPA BENJAMINI
lETA CV NA CONTACT PERSON PILI TUPE MTANDAO WA TIMU YAKO TUONE ISIJE IKAWA UNADAKA MIPIRA NJE YA UWANJA.
I REMAI TO BE CORRECTED.
MAGANILA- kutoka Musoma Vijijini
wabongo kwa kuchonga haha...namjua fazle alishakwenda birmigham city kufanya majaribio..kama hamuamini basi chekini facebook yake mtaona picha zaidi hahaha
ReplyDeletewanakubali kiaina...jama anadaka sana...
Kama alifundishwa na Marehemu Kinanda na alicheza na Said Mhando ni wazi kwamba kwa sasa ni kibabu mananke ni watu wachache sana tunaofahamu kwamba kulikuwa na mchezaji anaitwa Said Mhando kwa maana ya kwamba hilo jina lishapotea kitambo sana.
ReplyDeleteKuwa kipa bora wa shule sidhani kama ni sifa ya kujivunia saana maana tuko wengi tu tuliokuwa tunatisha mashuleni.
fazle anamiyaka 22 ..wabongo bwana hebu badilikeni duh mwacheni jama apige soccer mnachonga ..fazle ni mzuri keeper...jama kashapiga majaribio birmigham city ni mtanzania wa kwanza kucheza uk....bora yeye kuliko hao wanaongea hovyo..hehe.....badilikeni wabongo,..jama yuko fiti tena sanaaaaaa
ReplyDelete