Kiongozi wa Ujumbe wa wadau wa sekta ya Nishati kutoka Trinidad na Tobago ambaye pia ni balozi wa nchi hiyo Uganda Bw. Patrick Edwards akichangia jambo wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya Nishati kutoka Tanzania na Trinidad na Tobago leo jijini Dar es salaam.
Wadau wa sekta ya Nishati kutoka Tanzania na Trinidad na Tobago wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa kuhusu namna nchi hizo zinavyoweza kushirikiana katika uwekezaji kwenye sekta ya nishati ya Gas na Petroli. Picha na Aron Msigwa wa MAELEZO


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...