

na JK kwenye msafara wa kampeni ambao wanasherehelea nae besdei yake ya kuzaliwa wakiwa ziarani

Ankal anapenda kutoa shukrani za dhati kwa wadau wote wanaomtumia salamu kupitia Facebook na mitandao mingine. Anasema asanteni sana wadau kwa salamu hizo na hana cha kuwalipa zaidi ya kuwatakia maisha mema na fanaka katika shughuli zao.
-Michuzi
Happy birth day ankaliiiiiiiiiii......happy birth day to you.....nakutakia maisha marefu zaidi ya hapo
ReplyDeleteHappy b-day bro Michu a.k.a Ankal kama siyo mkuu wa wilaya ya kuzalisha nutrient mojawapo ya zege pale mjini Dar. Nakutakia maisha mema na yenye mafanikio. Mdau RJ.
ReplyDeleteMichuzi ulipokuwa kwetu ulipata kile vinywaji vyetu "umuramba" na "Gwagwa" kama hujaonja hivyo vitu hujafika Ngara.
ReplyDeleteAnko Miposi, mbona hamgeuki nyuma tuone majaketi yameandikwa nini mgongoni?
ReplyDeleteHEPI BESDE, MI NILIZALIWA JANA
ReplyDeleteMany Best Wishes and May Alimghty God bless you with many many more birthdays...
ReplyDeletecha msingi anko hacha u-ccm we mwandishi wa habari unapotosha wapi kura sasa hapo hiyo njano yangu au sisi anko umezidi sasa kaka una danga jamaa husipotoshe jamani kwa tamaa zako binafsi tunajua unalipwa kufanya hizi lakini watu wanataka maendeleo ondoa uozo wako uchoki siku ccm wakishindwa utajuta watu wanakuangalia tu ndio utajua ushabiki sio dili shauri yako kua we mtu mzima sasa au hii blog sio yako tunashaanga inatoka na hela za EPA nini
ReplyDeleteHappy Brithday Ankal !Mzee wa Libeneke,tunakutakia maisha marefu,afya njema,mungu akuzidishie mafanikio Zaidi,
ReplyDeletePia tunakuomba uzidi kuichunga Fulanazzzzzzzzzz!!!!!!
Happy Brithday
wadau
FFU wa ughaibuni
HEI!!MIE NIMESHAONA KWAMBA HII BLOG NI YA CCM...MICHUZI UTAKOSA WATU KWENYE BLOG YAKO..ACHANA NA VYAMA FANYA KAZI YAKO YA UANDISHI
ReplyDeleteHepibathidei ankal lakini acha ushamba kidogo.
ReplyDeleteHeri na baraka za kuzaliwa. Tunakutakia afya na mafanikio ya kikazi na kijamii.
ReplyDeleteNB: hivyo vikoti nusu vyenye mifuko debe ni gov issued? Kazini kwangu kuna waajiriwa wenye haki ya kutumia pesa za muajiri kununua nguo za kazi. Kwa kua wananunua toka sites zifananazo, basi wote hutembea kama mapacha....
Blackmpingo
Happy birthday to me and you as we have the same date and year, 28/08/1961. Ila mtu wangu unapendelea CCM hutaki kuweka mikutano ya vyama vingine, leo tunataka kuona picha za CHADEMA pale Jangwani, mtu wangu nadhani utasikia kilio changu hata mimi wa birthday moja kweli utanitupa kapuni?
ReplyDeleteMbona hakuna picha za ufunguzi wa kampeni za CHADEMA?Sisi wengine tuko mbali tunapenda kuona na upinzani unafanya nini pia ndugu yetu?Kama huwezi toa tamko tujue kuwa huwezi kuweka habari za upinzani!
ReplyDeleteHepi ya kuzaliwa, Michuzi!
ReplyDeleteLakini hiyo sare ya kisibau kwa "wapiganaji" iliamuliwa na nani ivaliwe?
Hili swali niliwahi kuuliza hapo mapema; sikupata jibu kutoka kwako..! Swali lilihusu Ayoub Mzee wa BBC kuvaa hiyo sare akiwa Tanzania wakati mmoja!
Au tunaiga wenzetu wa magharibi wenye kupenda kuvaa hivyo wakiwa nchi za joto?
Happy birth day ankal miaka mingapi umefikisha? kama sikosei umegonga 59!
ReplyDeleteKama unaishi nchi za masikini, miaka 50 unaongeza 15, kwa hivyo Ankal anagonga 65 sasa.
ReplyDeleteHongera ya Siku ya Kuzaliwa kaka, zimebaki dakika nane kabla sijachelewa siku!
ReplyDeleteMaggid,
Iringa.
Habari ankal, tafadhali sana uwe unauliza habari vizuri kabla ya kupost, maana hapo umepotosha watu JAMAL ABDALLAH TAMIMU ni mgombea Ubunge jimbo la MUHAMBWE KIBONDO na amemtoa Bwana KIJIKO nasio kama ulivyooandika tafadhali rekebisha ili usiendelee kupotosha watu. mimi ni mdogo wake Jamal na unaweza kuuliza kwa wahusika wakakuelewesha vizuri. narudia tena sio mbuge wa kasulu.
ReplyDeletehappy belated birth day babu
ReplyDelete