Home
Unlabelled
CRDB yachangia Shilingi Milioni 15 kwa shule ya Wasichana ya Visitation Bethel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii Shule lazima itakuwa Moshi na hivyo vikofia ni ndugu zangu wachagga ndio wenye guts za kuzivaa kwenye harusi tehe tehe
ReplyDeleteshule za masista hizo we unavaa unachoambiwa no messing!
ReplyDeleteWe annony hapo juu,kwani umesahau wahaya kuwa kofia ndio jadi zaoooo. nenda kwenye harusi zao utawaona walivyo zivaa.
ReplyDeleteNimependa hilo jina "VISITATION".nikijenga yangu nitaiita INVITATION.
ReplyDeleteWatoto wa masikini hawakanyagi hapo kama unataka kujuwa nenda karibu na hizo shule za msingi za serikali hakuna zilizopo karibu na hiyo shuele hata viti vya kukalia watoto hakuna, hata mwl hakunana, sisi watoto wa masikini hatuwezi hata kununuwa shati la shule lakini hakuna makampuni ya kusaidia. Wakubwa wanapeleka pesa kwenye shule ambazo watoto wao wankwena tu. Kumbukeni kwamba watoto wengi wa wakulima hawana kitu, kwani hata mazao yao hwauzi kwa haki.
ReplyDeletecvilaizesheni bigins at hom
ReplyDeletemcheza kwao hutuzwa
jamani naomba msaada huyo sio sister alida alikuwa kifungilo girls?au sister mary joseph kati ya hao wawili.msaada wadau.
ReplyDeletehiyo shule iko moshi sanya juu kwanza kuipata ni shuhuli ina sheria mbaya masista wako very stricty mwanafunzi akiingia fm one tu ankabidhiwa bustani anaitunza hadi anmaliza fm 4 na wanafulu sana ila mpaka uipate kazi nasikia masista wanahongeka vizuri sana ww ukitaka mwanao apate peleka lundo la hela wanamchukua swala ndo linabaki pale pale kwa sie tusionazo wanetu wataishia shule za kata
ReplyDeleteAaah! kumbe unabanaga Comment!!!!
ReplyDeleteAlouliza yap.wote Alida na Mary Joseph walikuwa kifungilo sasa wapo Visitation.
ReplyDeleteAm glad kuona all this,kama alivyodai hapo juu unavaa unachoambiwa no choice tena enzi hizi naona wana choices maana ilipoanza....
Yah.sister Alida na Mary Joseph wote walikua kifungilo sasa wapo Visitation.
ReplyDeleteGlad 2 see pics maana hii shule imetoka mbali lol!
Sr Alidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......... one in a million
ReplyDelete