Mgeni Rasmi,Mkurugenzi wa Benki ya CRDB,Dkt. Charles Kimei akihutubia katika sherehe za mahafali ya kidato cha nne ya Shule ya Sekondari Visitation

Mgeni Rasmi, Mkugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei akizindua moja ya nyumba za walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Visitation Bethel katika sherehe za mahafali ya kidato cha nne hivi karibuni.Dkt.Kimei akikata utepe kuzindua bweni la wanafunzi wa kidato cha tano na sita katika sherehe hizo za mahafali .Baadhi wa wanafunzi wa shule hiyo wakiwa katika mahafali hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Hii Shule lazima itakuwa Moshi na hivyo vikofia ni ndugu zangu wachagga ndio wenye guts za kuzivaa kwenye harusi tehe tehe

    ReplyDelete
  2. shule za masista hizo we unavaa unachoambiwa no messing!

    ReplyDelete
  3. We annony hapo juu,kwani umesahau wahaya kuwa kofia ndio jadi zaoooo. nenda kwenye harusi zao utawaona walivyo zivaa.

    ReplyDelete
  4. Nimependa hilo jina "VISITATION".nikijenga yangu nitaiita INVITATION.

    ReplyDelete
  5. Watoto wa masikini hawakanyagi hapo kama unataka kujuwa nenda karibu na hizo shule za msingi za serikali hakuna zilizopo karibu na hiyo shuele hata viti vya kukalia watoto hakuna, hata mwl hakunana, sisi watoto wa masikini hatuwezi hata kununuwa shati la shule lakini hakuna makampuni ya kusaidia. Wakubwa wanapeleka pesa kwenye shule ambazo watoto wao wankwena tu. Kumbukeni kwamba watoto wengi wa wakulima hawana kitu, kwani hata mazao yao hwauzi kwa haki.

    ReplyDelete
  6. cvilaizesheni bigins at hom
    mcheza kwao hutuzwa

    ReplyDelete
  7. jamani naomba msaada huyo sio sister alida alikuwa kifungilo girls?au sister mary joseph kati ya hao wawili.msaada wadau.

    ReplyDelete
  8. hiyo shule iko moshi sanya juu kwanza kuipata ni shuhuli ina sheria mbaya masista wako very stricty mwanafunzi akiingia fm one tu ankabidhiwa bustani anaitunza hadi anmaliza fm 4 na wanafulu sana ila mpaka uipate kazi nasikia masista wanahongeka vizuri sana ww ukitaka mwanao apate peleka lundo la hela wanamchukua swala ndo linabaki pale pale kwa sie tusionazo wanetu wataishia shule za kata

    ReplyDelete
  9. Aaah! kumbe unabanaga Comment!!!!

    ReplyDelete
  10. Alouliza yap.wote Alida na Mary Joseph walikuwa kifungilo sasa wapo Visitation.

    Am glad kuona all this,kama alivyodai hapo juu unavaa unachoambiwa no choice tena enzi hizi naona wana choices maana ilipoanza....

    ReplyDelete
  11. Yah.sister Alida na Mary Joseph wote walikua kifungilo sasa wapo Visitation.

    Glad 2 see pics maana hii shule imetoka mbali lol!

    ReplyDelete
  12. Sr Alidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......... one in a million

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...