Statement by the spokesperson of the HR Representative Catherine Ashton on the Referendum on the formation of the Government of National Unity in Zanzibar

The spokesperson of the High Representative of the European Union for Foreign Affairs and Security Policy/Vice President of the Commission Catherine Ashton issued the following statement today:

"The High Representative congratulates the people of Zanzibar on the peaceful conduct and outcome of the referendum which was held on 31 July. The result shows that a clear majority of the electorate supports the creation of a new form of Government.

HR Ashton considers that this is an important landmark in the process of reconciliation which should lead to the establishment of a stable environment for promoting long term peace and development in Tanzania. This result now provides a mandate for the two main political parties on the Isles to pursue their negotiations with a view to forming a Government of National Unity."

The United Republic of Tanzania will be holding General Elections on 31st October 2010 covering mainland Tanzania and Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HII SI KAMA INACHEKESHA BASI NI KICHEKESHO, HAPA CHA MSINGI NI KWAMBA CUF WANAJUWA HAWA KAA WAKASHINDA UCHAGUZI WOWOTE ZANZIBAR UWE WA UHURU U WA FITINA ND MAANA WAMEPRESSURE HII KITU IPITE WAKIWA NA IMANI YA KUINGIA MADARAKANI HAPO NI UCHU TU WA MADARAKA NA SI JINGINE NA KWA CCM WAKO DESPARATE NI AMANI KWA VILE WANAJUWA KWA VYOVYOTE VILE WATASHINDA KWA HURU AU FITINA NA WANAJUA WAKISHINDA KWA AINA YOYOTE ILE CUF LAZIMA WATAFANYA FUJO KWA HIYO NAO WAKAKUBALI SERIKALI YA MTINDO HUO ILI KUZIMA FUJO. LAKINI UPUNGUFU UNAKUJA HAPA PA WATU KUONA SERIKALI YA AINA HIYO IWE TU YA VYAMA VIWILI YAANI CUF NA CCM WAKATI ZANZIBAR KUNA VYAMA VINGI ZAIDI YA HIVYO NA KAMA HIVYO VINGINE HAVITAKUWA KATIKA SERIKALI YA AINA HIYO HUO SI UDEMOKRASIA BALI NI UONEVU. CHAMA KITAKACHOSHINDA NDICHO KINATAKIWA KUUNDA SERIKALI IKICHAGUWA WATU WENGINE TOKA VYAMA VINGINE WAINGIE KATIKA SERIKALI YA KITAIFA SI CUF PEKEE YAKE KAMA CCM ITASHINDA NA WALA SI CCM TU KAMA CUF ITASHINDA NA HII PIA ITAPELEKEA FUJO KAMA VINGINE HAVITAKUWEPO KWENYE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA KWANI KUSHINDWA NI KUSHINDWA TU HATA KAMA UTASHINDWA KWA KURA MOJA HUTOKUWA TOFAUTI NA YULE ALIYESHINDWA NA KURA MILIONI SASA K NINI NA YEYE ASIJUMULISHWE KWENYE SERIKALI YA KITAIFA

    ReplyDelete
  2. Alf mabruk ya daulatil Zinjibar wa kuli Zinjibaria fii kuli makan.

    Kimanga kitamu japo kuwa cha kuibia ibia.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. anony wa mwanzo,ukisikai fitina ndio hizo,acha zako,watu washakubaliana tuombe dua iwe salama sio tena hivi au vile,pili hata kuwe na vyama hamsini kuna sheria inayosema asilimia ngapi ili uunde serikali sasa chama kina pata kura moja hao wawakilishi wake wanapigia vyama vya cuf na ccm tena unataka kiunganishwe na nani? ikiwa wajumbe wenyewe wanapigia vyama vikuu viwili basi tutajie chama chengine unachokijua wewe Zanzibar,Mungu ibariki TANZANIA na fitina ziondoshe wenye akili,JK,wazungu na wazanzibari wanashangilia mapatano wewe tu ndio unasema kichekeshoo? NYIE NDO MSOPENDA AMANI PALE ZANZIBAR

    ReplyDelete
  4. we anony wa kwanza acha akili za kina shamhuna! hivi unafikiri ccm tu ndio inatakiwa kutawala milele? sasa itakuwa ya mseto alivyotaka baba wa taifa na komandoo kukataa, kufeni sisi tuishi kwa amani wabaguzi wakubwa.mnawasema israel kuwabagua palestinians wkt nyie waunguja na wapemba mnabaguana!*$$&**$$#

    ReplyDelete
  5. Inafurahisha sana kuona zanzibar wenyewe wamekubaliana na wanapenda waishi kwa amani....na yule asieitakia mema zanzibar ndio hao wanaosema ati vichekesho .....wewe kama nani pumbafu wee.....watu washachoka na hawataki kumwaga damu sasa ipe mda utaiyona zanzibar itakavyoendelea na wewe UJINYONGE tu kwani ulifikiria kila siku watu wa zanzibar watafarakana ndio furaha yako mungu akuangamize wewe na familia yako usieitakia zanzibara amani.-......

    ReplyDelete
  6. UELEWA NI KITU MUHIMU KATIKA MAISHA, HUO MTINDO UMEJADILIWA KWA MASLAHI YA VIONGOZI KWA VILE WANAUCHU WA MADARAKA SI KWA AJILI YA WANANCHI, NI NANI WALIKUWA WANACHOCHEA DAMU KUMWAGIKA KAMA SI VIONGOZI WENYEWE, JAMANI AMKENI MKIJUWA HILO NI KWA FAIDA YA VIONGOZI WENYEWE OTHERWISE HAMNA HAJA YA KUWA NA MFUMO WA VYAMA VINGI KAMA MNAJADILI SRIKALI YA YA VYAMA MSETO KABLA HATA YA UCHAGUZI NA MATOKEO YAKE NI KICHEKESHO AMBACHO HAKIWEZI KUTOKEA MAHALI POPOTE PALE DUNIANI ZIDI YA ZANZIBAR KWA BENEFIT YA VIONGOZI, KWANI NI VIONGOZI NDIO WAANZILISHI WA UMWAGAJI DAMU KWA FAIDA YAO. NOW STOP THE DEMOCRACY OF MULTIPARTISM IF THAT IS THE CASE NA WALA HAMNA HAJA YA KUPOTEZA PESA ZA WALIPA KODI KUFANYA UCHAGUZI WAKATI TAYARI MSHAPITISHA SERIKALI YA MSETO KUJUMULISHA VYAMA VYOTE SASA UCHGUZI WA NINI??????????? HII NI KWA FAIDA YA CUF KWA VILE WANAJUWA HAWAWEZI KUSHINDA KWA SABABU ZA KIHISTORIA NA CCM WAMEKUBALI HII KWA SABABU WANATAKA KUTAWALA KWA AMANI, IT NEEDS THE EYES OF AN EDUCATED PERSON TO SEE THIS, NOT STREET POLITICS MAN.

    ReplyDelete
  7. basi humu watu ndio hawana akili kabisa huyo anosema SERIKALI YA KITAIFA NI KICHEKESHO JAMANI TEMBEENI MUJIONEE HAYA JE UK PIA NI KICHEKESO AU MTAKUA NA AKILI MSIFANANISHE TANZANIA NA UK? MBONA TORRES WAMEUNGANA NA LIBERAL KUUNDA SERIKALI YA MSETO? HATA KAMA MASLAHI YA VIONGOZI WENYE UCHU WA MADARAKA KIVYAO LAKINI ANGALIA KITU MUHIMU KWA NINI WANANCHI WAKAPIGA KURA WEWE NDIO UNA AKILI KULIKO WATU LAKI 2? JEE KURA WALOPIGA WALIAMBIWA NI KWA AJILI YA NINI? SI WALIAMBIWA KWA AJILI YA KUUNGANISHA KULETA AMANI? KWA HIYO WAMEKUBALI KUDANGANYWA KWA KUWA WAMETAJIWA AMANI WAMEKUBALI HATA KAMA CUF NA CCM NI MASLAHI YAO NA RAIA WANATAKA WAISHI KWA AMANI PIA,NDIO ZANZIBAR NA PEMBA WANABAGUANA UNA USHAHIDI HIZO NI KAULI TU ZA MEDIA,MBONA ASILIMIA NYINGI WAPEMBA WAMEOA NA KUOLEWA NA WA UNGUJA? UBAGUZI KILA SEHEMU UPO LAKINI HAJANYIMWA MTU KULA-HUKO BARA KILA SIKU MAKABILA YANAPIGANA MBONA HUSEMI-JAMANI SOTE NI WATANZANIA TUISHI KWA AMANI,AU KUITWA MTU MPEMBA NI UBAGUZI? MIMI NIKIJA BARA NAITWA MPEMBA INA MAANA UMENIBAGUA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...