KIKOSI KAZI CHA MAPAPARAZI NA MAMARAZI WA LUNINGA YA ITV WALIOHUDHURIA MAFUNZO MAFUPI YA UANDISHI WA HABARI ZA UCHAGUZI YALIYOANDALIWA NA UNDP KATIKA HOTEL YA LANDMARK UBUNGO JIJINI DAR.
TOKA SHOTO NI ALLY HENGO[KISARAWE],IDA MUSHI[MOROGORO[,WILLIAM MNGAZIJA[TANGA],FADHILA SAIDI[KILIMANJARO],NOVATUS MAKUNGA[ARUSHA] NA CHARLES MASAYANYIKA[MANYARA]
PAPARAZZI NI MPIGA PICHA AU MWANAMKE AU MWANAUME, SO HAKUNA HAJA YA KUANZA HAPO CHA MAMARAZZI PAPARAZZI SI LAZIMA AU MWANDISHI WA HABARI AU NEWS READER, AU TV PRESENTER. MTU YOYOTE ANAYEPIGA PICHA ANAWEZA KUWA HATA FREELANCER NA BAADAYE ANAZIUZAKWA MEDIA HUYO NDO PAPARAZZI HATA KAMA NI MAMA
ReplyDeleteKwani paparazi ni lugha gani?
ReplyDeleteHapa utaniambia na mwanamke akiwa chairman,hakuna shida....wataalam wakasema awe chairperson...Inachanganya hii.
Anyway naona hii timu ni ya MAMBO MSETO...Sijuhi wanakwenda kuandika mambo mseto ya uchaguzi au?Huwa naona Km mambo mseto kuna uongo mwingi sana!!
Hivi visuruali walivyovaa kina Ida na Fadhila ni uniform ya ITV au vipi?? Akina dada wengi wanaofanya kazi ITV wanatinga sana na vivazi hivo, na nasikitika kusema kuwa huwa vinawafanya kuonekana kioja kokote kule waendako. Nakumbuka waliwahi kutimuliwa kwenye mkutano mmoja kwa uvaaji wa aina hiyo.
ReplyDeleteNimecheka mpaka basi!! Mamarazi? Hii mpya!!
ReplyDeleteKuna watu wageni kabisa wa hii blog, wanashangaashangaa lugha na misamiati inayotumika humu. Kwa taarifa yenu hiyo ndo lugha yetu humu. Mai waifu wake, mai hasband wake, hepi bethdei tu yuuu yake, na sasa mamarazi! Mpo hapo! Lugha fasaha pelekeni huko! Haya ndo mambo yanayotufanya kila siku tuingie bloguni!!
Ankal Mithupu, keep it up!!
PAPARAZZI NI UWINGI WA PAPARAZZO, SANA INATUMIKA KATIKA NORTH AMERICA ENGLISH, NI REPOTER WA NEWS AU MPIGA PICHA WA PICHA ZA NEWS AU MWANDISHI WA HABARI ANAYETAFUTA HABARI ZINAZOPATIKANA KIUJANJAJANJA HASA KWA HABARI AU PICHA ZITAKAZOKUWA ZA KUSISIMUA GUMZO LA JIJI KWA SIKU HIYO ZITAKAZO UZA GAZETI AU IMPROVE RATING RATE ZA WATAZAMAJI NA WASIKILIZAJI WA TV UA RADIO AMA KWENYE GAZETI AU RADIO AU TV ANAWEZA KUWA MWANAKE AU MWANAUME ATAITWA HIVYO HIVYO.
ReplyDeleteKUNA MCHANGIAJI MMOJA HAPO AMEULIZA KUHUSU CHAIRMAN KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME HADI MWAKA 1920 MTU YOYOTE ALIKUWA ANAITWA CHAIRMAN UWE MWANAMKE AU MWANAUME KWA ARGUMENT THAT UNAPOSEMA CHAIRMAN MAN INASIMAMA KWA BINADAMU SI MWANAUME, HADI MWAKA 1920 KULIINGIZWA NENO CHAIRLADY KWA WANAWAKE NA 1971 NDO KUKAINGIZWA NENO CHAIRPERSON KWA MTU AMBAYE SI MWANAUME LAKINI BADO KUNA UBISHANO KUWA KUMWITA CHAIRMAN WA KIKE KWA MAJINA HAYO MENGINE NI UBAGUZI HAKUNA HAJA YA KUITWA KWA MAJINA HAYO MENGINE WOTE NI CHARMAN TU AS ALL ARE HUMAN BIENGS BELONG TO THE SAME SPECIES OF MANKIND. SO SI KOSA KUMUITA MWANAMKE MWENYEKITI KAMA CHAIRMAN. SI KOSA KABISA BADO INATUMIKA HIVYO
Sasa hapo mwisho wewe unamshoutia nani..Kabla hamjaanza kuwapa watu kisomo inabidi na nyie muelimike...Ulimengu wa tech kuandika na upper cases ni kushout so stop that...
ReplyDelete