Hi Michuzi,
Baba yangu mzazi, Dr. Aleck Che-Mponda, amesherekea birthday ya 75 jana. Tulimfanyia birthday party nyumbani kwa mdogo wangu Maryland.
Happy 75th Birthday!
Kuona picha zaidi tembelea:
http://swahilitime.blogspot.com/
- Chemi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Happy 75th Birthday, Dr. Che-Mponda! Mungu Akubariki ushekeree birthdays's nyingi zaidi!

    ReplyDelete
  2. Hongera mwalimu wangu pale UDSM- I recall the trips you organised for us (international relations students) to visit different diplomatic offices/residence in Dar.

    Mzee anapendeza kama kawaida yake.

    ReplyDelete
  3. happy B'day

    still going strong!

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...