Mwenyekiti wa Kampuni ya magari ya Hyundai East Africa Ltd, Gulam Hussein Karmali (kulia) akimkabidhi rasmi mfano wa funguo wa magari 100 kwa ajili ya wateja wa Vodacom kujishindia a katika Promosheni ya "SHINDA MKOKO" Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mahusiano ya Wateja(Executive Customer Relationship Management)wa Vodacom Tanzania Aika Makindara Matiku,katikati Mkurugenzi mtendaji wa Hyundai East Africa Ltd,Mohamed Karmali.
Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mahusiano ya Wateja(Executive Customer Relationship Management)wa Vodacom Tanzania Aika Makindara Matiku akiongea na waandishi wa habari wakati wa kukabidhiawa rasmi magari 100 kwa ajili ya wateja wa Vodacom kujishindia katika Promosheni ya "SHINDA MKOKO"(kulia) Mwenyekiti wa Kampuni ya magari ya Hyundai East Africa Ltd, Gulam Hussein Karmali.
Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mahusiano ya Wateja(Executive Customer Relationship Management)wa Vodacom Tanzania Aika Makindara Matiku akilijaribu moja kati ya magari 100 aliyokabidhiwa rasmi leo kwa ajili ya wateja wa Vodacom kujishindia katika Promosheni ya "SHINDA MKOKO ".



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. haya sasa
    Mikoko yenyewe Manual Transmission,, na hawa madereva wa siku hz ni AUTO transmition hahaha......
    But I like and respect manual transimission cars

    JAMANI NAFUNGUA CHUO CHA UDERECA MANUAL CARS ONLY

    si unamuona dada AIKA anachezea kichwa hapo

    ekonjo

    ReplyDelete
  2. haya sasa foleni zitazidi barabarani gari mia moja hizo zinazidi...

    ndau
    tz

    ReplyDelete
  3. Wadau naomba msaada!!!!
    Mimi nimezoea kuendesha auto, hivi kama unaendesha gari yenye gia manyo, ukiitia gia ni lazima uangalie gia kwanza au unaangalia mbele wakati ukitia gia? Wadau pliis!!


    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  4. denmark ni manual tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...