Twiga Stars players in a group photo with Northwest National Reds team players after their match last night in Washington. Twiga Stars won 2-0.
Twiga stars players with some Tanzanians living in the US


Last night Tanzania's National Women's Football team, the Twiga Stars, took on the Northwest National Reds U-18 in a friendly match at the Starfire Sports Complex south of Seattle, Washington, USA. Despite having traveled for almost two full days, spending 28 hours on planes and arriving only the night before, the Twiga Stars beat their American opponents 2-0, with goals by Eto Mlenzi and Esther "Lunyamila" Chabruma.

The Northwest Nationals are one of the top youth soccer clubs in Washington State, and many of their players each season go on to earn soccer scholarships at top universities.

The Twiga Stars are currently on their USA training trip sponsored by Ms. Rahma Al-Kharoosi, president of RBP Oil & Industrial Technology Ltd.

While in the USA, the Twiga Stars will be playing a number of matches, including a special showcase match on August 7 against the Seattle Sounders Women's Team, who play in the USL W-League, the second tier of USA women's soccer.



The aim of the trip is to gain experience before the African Women's Championship to be held in South Africa this October. The Twiga Stars qualified for the continental finals by beating Ethiopia 4-2 on aggregate, then beating Eritrea 11-3 on aggregate.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. viwanja kama hivi serekali yetu au wazamini wangeweza kujenga nchini mwetu tungekuwa mbali sana kisoka !1 Ongera twiga starts hila mmecheza na VILAZA so sioni cha kuwapongeza sana!! kama kweli manataka kufika mbali chezeni na team za level yenu !! si mnacheza tu mradi ni wazungu !1

    ReplyDelete
  2. Wamechaza na Under 18 :)

    ReplyDelete
  3. Re: Mdau wa kwanza.Kama viwanja ndivyo vinacheza mpira nitakubaliana na ww.Kwanza wachezaji wetu wengi hawana talent na hawafundishiki.Hata Mwenyezi Mungu akiwa kocha wa Taifa Stars hatutafika mbali na wachezaji tulionao.Wachezaji hawana supu, hawajui kukimbia, hawajui kupasi mipira,waoga kwa kubabaikia majina ya wachezaji fulani mfano walipocheza na brasil na Ivory Coast.Wachezaji wetu hawa self-esteem afu unategemea taifa stars icheze kombe la mataifa ya Afrika au kombe la dunia.Hahahahahahaha.

    ReplyDelete
  4. I'm so proud of these Sisters!! Go Twiga we all behind you!!

    ReplyDelete
  5. Yani timu yetu ya wanawake wanacheza mpira wa kuvutia na wa akili kuliko waliokuwa watoto wa MAXIMO? kweli hii michezaji yetu ya kiume vichwa vyao vigumu au kwamba wanajifanya wajuaji.


    safi sana twiga stars mpira wenu unavutia,pasi zenu za huakika.

    ReplyDelete
  6. WE FALA HAPO JUU DON'T ASSOCIATE MUNGU NA UPUMBAVU WAKO!! HIVI UNAMJUA MUNGU AU? TUMIA MIFANO MINGINE NA SIO MUNGU AU WE UNAABUDU MITI NINI?? USICHAFUE HALI YA HEWA HUMU.

    ReplyDelete
  7. duh Mi nahisi moja kati ya mawili either KOCHA WA TWIGA AWE NDIO WA TAIFA STARS AU TIMU YA TWIGA STARS NDIO ISHIRIKI KAMA TAIFA STARS TUWAKATE MCHICHA TU HAWA WANAWAKE MAANA WANAPIGA PASI UTAFIKIRI SPAIN-TUKIWANYOA MCHICHA HAWA HAWATAJULIKANA WANAWEZA KUTUFIKISHA MBALI.

    ReplyDelete
  8. Good job!

    Tangazeni schedule ili tuje kuona game.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  9. Wewe unaliyeniita mpumbavu ndo hujui maana ya Mungu.Mungu ni kile kinachoabudiwa. Ng'ombe ni Mungu anaabudiwa India.Panya pia ni Mungu anaabudiwa,Nyoka ni Mungu anaabudiwa.Soma na kuelewa kilichoandikwa kwanza kabla hujaanza kutukana watu.

    ReplyDelete
  10. bravo twiga! mdau greece

    ReplyDelete
  11. Mdau wa tatu mada inahusu timu ya taifa ya soka ya wanawake lakini yeye kachomekea mambo ya timu ya wanaume. Wachezaji wanafundishika kama unajua kufundisha. Henry Joseph si yupo Norway anakipiga ligi kuu ya huko. Nizar Khalfan yupo Vancouver ambayo itajiunga na MLS mwakani. Tatizo ni misingi yetu mibovu na tunaona kama vile kucheza mpira ni kukosa la kufanya. Mambo ambayo tulitakiwa kujifunza utotoni tunajifunzia ukubwani.
    Wadau msibeze ushindi dhidi ya hii timu ya chipukizi. Fabregas, Messi, Neymar, Pato walianza kutesa wakiwa na umri gani?

    ReplyDelete
  12. Michuzi zi post picha za kila mmoja wao kama vile zile picha za jela hapa U.S., ili nichague mchumba. Nimechoka vitambi vya wanawake wa kimarekani.

    ReplyDelete
  13. go girls go!!
    pamoja sana

    ReplyDelete
  14. wewe ulosema umetokanwa na wee pia kasome MAANA YA MUNGU KISWAHILI NI UWEZO WENYE KUWEZWA USIEWEZWA na tena umesema mwenyewe MWENYE ENZI MUNGU kwa hiyo inamaana hata kama kuna mungu mwengine sio mungu kwanza atakua kwa small letter hana msisitizo lakini unaposema MWENYE ENZI MUNGU bsi ndi MUNGU ALIENAUWEZO USIOSHINDIKA,KAFIRI MKUBWA WEWE USICHAFUE WATU HUMU SIO,KWANI kama mungu ni Ngome ndio wako sawa? ku*&\\%&*(***/*/...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...