Mchungaji wa kanisa la Mikocheni Assemblies of God,Getrude Rwakatare akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapi pichani) uliofanyika jijini Dar es Salaam, leo kuhusu maandalizi ya ibada maalumu ya kuombea Uchaguzi Mkuu itakayofanyika kesho katika kanisa hilo. Uchaguzi Mkuu wa Urais,Wabunge pamoja na Madiwani utafanyika Oktoba 31. Kulia ni Mchungaji wa Msaidizi, Dk. Stephen Mutyetumo .
(Picha na Francis Dande)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bwana Misupu, asante kwa taarifa yako, kama ulibahatika kurecord hotuba ya marando hapo jangwani, tunaomba kaka utuwekee kwenye video yake manake TBC ilizima matangazo sisi wa mikoani hatukuona wala kusikia.

    Halafu fanya hivyo hivyo kwa vyama vyote uwe unatuwekea video zao.

    Kazi njema

    ReplyDelete
  2. unga unga unga unga unga unga unga unga unga unga

    ReplyDelete
  3. politixxxxxx politixxxxxx. Michublog au whatever you call it. Is an arm of the rulling party? are they financing your tour with them?..why the coverage of the CCM is leading on this blog? ....I mean is this a fair and open blog?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...