
Your love, piece and kindness, words of wisdom
and guidance are deeply missed by your ever loving wife Gabriela Scholastica
and by all your children: Dr Cosmas, Dr Clement, Moses, Evangelista, Devota, Francis, Magreth and Bacillius.
Grand children: Glory, George, Miriam, Etien,Kajanja, Diana, Amanda, Gabriela (wa Mussa), Natasha, Gabriela (wa Chichi), James Abraham, Shedrock and Nandera.
A requiem mass will be held at
Magomeni Catholic Church
this weekend at time TBD later.
May the Almighty God rest your soul in eternal piece.
A requiem mass will be held at
Magomeni Catholic Church
this weekend at time TBD later.
May the Almighty God rest your soul in eternal piece.
RIP. michu badilisha basi dates hapo.
ReplyDeleteHuyo hapo juu yaani mmoja katika watoto wake nakumbuka ndiye Moses Mango niliyekuwa naye jeshini kwa mujibu wa sheria, JKT RUVU kati ya mwaka 1985 - 1986, Operesheni OKOA na baadaye akawa ameenda kusoma nje katika nchi za KISOVIETI kutokana na habari nilizozipata wakati huo. Kama ni yeye basi na amerudi nchini naomba contact zake ili niweze kuwasiliana naye kwani alikuwa rafiki yangu sana jeshini !
ReplyDeleteMdau - Operesheni OKOA - RUVU JKT
1985 -1986
Ninawashukuru wote waliokuwa nami siku ya leo. Pia Supu sahukrani sana. @Mdau wa Ruvu operesheni OKOA: Moses unayeulizia siko bongo ila nitafurahi kuwasiliana nawe(ingawa hukuacha hata jina). JKT sikuwa na maadui hivyo nitafurahi kuweka contacts na wewe na wengine wote tuliofahamiana Forodhani, WRI, JKT na pengine pote. Nitafuteni ktk Facebook kama Bigmo Mango au ktk skype kama Slyrobbins.
ReplyDeleteOtherwise, unganikeni nasi ktk sala za maombi kwa wafu wote,