Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akimnadi kwa wananchi mgombea Ubunge wa jimbo la Sumbawanja mjini kupitia chama hicho,Bw.Khalfan Hayeshi pindi alipokuwa katika mkoa wa Rukwa jana.

Rais Jakaya Kikwete akigombewa kusalimiwa na wananchi wa Sumbawanga alipokuwa akiwasili katika uwanja wa Mandela.

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi pindi alipowasili mjini Mpanda na kufanya mkutano wa kampeni.

Rais Jakaya Kikwete akishuka kwenye Helkopta mara baada ya kuwasili Sumbawanga mjini tayari kwa mkutano uliofanyika jana kwenye uwanja wa Mandela.

kwa picha zaidi

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. NANI KAMA CCM??? WAPINZANI HAWANA CHAO...Ngoja Mabere Marando awatibue kama kule NCCR Mageuzi halafu akimaliza kazi yake tulomtuma anarudi nyumbani CCM kwa ulaiiini kama analia. CCM OYEE!!!

    ReplyDelete
  2. Hivi Mali ya serikali si ni harari kutumiwa na vyama vyote? Nina uhakika hii "edikopta" ni mali ya serikali si ya CCM.Je vyama vingine vyaweza kuitumia?

    ReplyDelete
  3. AMINI usiamini wachina kila kitu sasa wanaangaliaelukopita ya mheshimiwa wako juu sana huha

    ReplyDelete
  4. mtoa maoni namba mbili, hii ni helcopter ya kukodi. angalia namba za usajili. ni ya huko afrika kusini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...