Home
Unlabelled
JK na Dk Bilali warejesha fomu asubuhi hii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ccm masaa mawili, wengine wanafanya kubanana kwenye saa moja. tutafika tu.
ReplyDeleteAnony wa Kwanza, ni kwamba JK bado ni Rais. Kuna masuala ya usalama lazima yafuatwe. Inabidi advance party ipate fursa ya kuhakiki eneo kwa muda wa kutosha kabla ya kuwasili kwa POURT.
ReplyDeleteSasa ni saa tisa, mbona hakuna picha ya Slaa akirudisha fomu au bado hajarudisha nini? au michuzi wewe ni CCM? acha hizo michuzi....weka picha ya wagombea wa vyama vingine cCM tumewachoka.
ReplyDeleteEeeh mdau wa kwanza kumbe umeona kama mimi. Extra one hour kwa ajili ya kampeni.
ReplyDeleteTutafika.
kikwete tumbo hilo fanya mazoezi usiwe kama mkapa mdowea ftari.
ReplyDeleteMtoa mada hapo juu kweli ameichunguza ratiba kikamilifu. Je tume ya uchaguzi mnaanza upendeleo asubuhi na mapema kabla hata mbio za kampeni hazijaanza? Mbona CC mmmm, wamepewa jedwali lenye masaa mawili? Na Chama ka Chadema wakapewa jedwali ndogo? Tutafika tuu, hakuna matata. Kenya hawakujua watakuwa hapa, Marekani hawakujua kama kutakuwa na mabadiliko, CHANGES..Zimbabwe pia, na sasa mwenzio akinyolewa, na wewe jiandae......Change is coming to tanzania...change is inevitable...now!!!
ReplyDeleteAnkal acha ubaguzi wa wazi kabisa.
ReplyDeleteInakuwaje uweke picha za ccm tu wanaorudisha fomu wakati kuna vyama vingine pia vimerudisha fomu leo tena ni DSM. Iweje picha ya Mbeya iwekwe kwanza? Acha hizo bwana,lakini nililitegemea hilo kwa kuwa wewe na ccm ni damu.
Tunawasuburi kwenye masanduku Oktoba.
Upinzani Oyee, Dr.Mabunduki Oyeeeee!
hii chama mpya iliyokuwa CCJ baadae ikaama kuwa CCK mbona siioni kwenye list
ReplyDeleteWabongo kwa kulalamika bila kufanya uchinguzi hamjambo. Yani kitu kidogo hata hamfahamu kitu lakini mnaanza ooh mbona masaa mengi, mara ooh tumbo...inahusu nini. Inaonekana nyie hata maisha yenu hayako sawa..au mna matatizo kichwani. Kabla hujalalamika fanya uchunguzi kwanza ndio uanze malalamiko. Sasa na bado mwaka huu ushindi wa kishindo kupita historia inavyojionyesha. Manependa kubwatuka tu halafu hata vitambulisho vya kupiga kura hamna....chenji kabicha
ReplyDeleteMtoa mada wa pili acha kutuzingua kwa kisngizio cha Urais na Usalama..huu ni uonevu wa wazi wazi tena mapemaaa!!
ReplyDeleteIngekuwa ni chama kingine kimefanyiwa hivyo ungemuona Makamba u Msekwa anaanza ktuishia na barua za malalamiko kwenye vyombo vya habari-Mwaka huu "Mtu mzima Hatishiwi Nyau".
Kagame wakati wa kampeni aliacha kila kitu cha Ikulu na kutimia vyake binafisi, mpaka gari hakutumia la selikari alitumia lake binafsi.
ReplyDeleteSasa subiria uone kampeni za CCM,kudadadadadekiiiiiiiiii.....!!!! mpaka kijiko cha ikulu kitumika.
Hicho ndicho chama tawala bwana.Ingia barabarani mpige picha na siyo kunungunika.Angalia msije kukosa hata hiyo nafasi ya 3 kwani janja yenu ya helkopta CCM wameijua na wanazo.Mgonjwa wa watu angeachwa akahangaika kurudi bungeni sasa mtakosa mwana na maji ya moto.Mnadhani siasa ni madhabahu au ukumbi wa bunge.Kama ni kujenga hoja mbona mpambanaji Tundu Lisu yupo?
ReplyDelete