Kwanza napenda kukupa hongera sana kwa hatua ya mbali uliyo fikia hii inatupa moyo sote kuwa siku moja tutakua sehemu...Naungana na watanzania popote Duniani kukupa Hongera..Ankali mimi nilikua naomba kutambulisha tovuti yangu ambayo ni mpya kabisa machoni kwa watu wote mimi ni mtanzania ninae ishi mkoani Mbeya na ndipo nilipo sasa. Baada ya kukaa chini na kufikilia nimeona nije na wazo jipya la kuanzisha tovuti ambayo itawakutanisha watanzania mbali mbali na watu mbali mbali popote Duniani, kwa lugha ya kigeni tunaita Social Network.
Katika tovuti hii ya Friend Connect Zone. ni rahisi sana kutumia na pia kujiunga, pia mtumiaji anaweza jiunga kupitia Facebook ama myspace mtumiaji akiwa ndani ya tovuti hii ataweza tafuta marafiki,ataweza weka picha zake,video,blogs na mambo mengine mengi.
Si hivyo tuu mtandao huu mpya utakuwezesha kuchat muda wote ambao atakuwa hewani na marafiki watakao kuwa hewani,pia ataweza kuona yuko wapi katika muda wa nchi aliyopo.
Nawaombeni ndugu zangu tujiunge katika mtandao huu, na pia tuwaalike na wenzetu wapate kujiunga, kwa pamoja tuendeleze tecknolojia nchini kwetu,na mawasiliano kwa ujumla, nawashukuruni nyote na karibuni sana.
Jina la website: Friends Connect Zone
Link ni: http://grou.ps/mawasiliano
email:friendsconnectszone@gmail.com
KWA PAMOJA TUNAENDELEZA LIBENEKE LA GLOB YA JAMII

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...