Muwania Ubunge katika Jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,Bw. Justine Salakana na mkewe wakimwaga sera zao wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010 Jimboni humo.
Muwania Udiwani wa Kata ya Kilimanjaro,Bw. Priscus Tarimo (kati) akiwa na wadau wake kabla ya kuanza kwa mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika Jimbo la Moshi Mjini jana.kulia ni Irene George na kushoto ni Carol Ndossy.
wana CCM wa Moshi mjini wakimshangilia mgombea Ubunge wao.
wengi walijitokeza katika mkutano huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Picha za CUf vipi kaka michu. Lipumba kazindua kamepni leo Temeke

    ReplyDelete
  2. Duh..Priscus Tarimo nimekukubali mkuu, kweli uko strategic..kila la kheri..

    ReplyDelete
  3. Anon wa kwanza aka mdau maarufu wa CUF sasa unataka nani akufanyie kazi ndugu yangu?

    Umemtumia Michuzi picha za CUF akashindwa kuzitundika kwenye bango? Wadau wa CCM huwa wanamtumia Michuzi ndio maana tunaziona.

    Zinduka ukifanyie chama chako kazi.

    ReplyDelete
  4. Uncle bana na hii basi, Kaka Priscus angalia kaka tusije uwa Leopard, pamoja sana kamua. LJS tupo juu, sasa ni kampeni za nani atakuwa Rais 2020.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...