Mpendwa baba, leo unatimiza miaka miwili (2) tangu ututoke tarehe 23/08/2008 saa 3:30 usiku.
Tunakukumbuka sana kwa upendo na ushauri wako, kamwe hutatutoka mawazoni mwetu. Unakumbukwa sana na mama (Mrs. Esther V. Mwaipaja), sisi wanao Tony, Ipyana, Ivan na Irene, wajukuu zako Ben, Lulu, Baraka, Vicky, Dan, Milka na Vicent.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
Amen

Mama Esther Mwaipaja pamoja na wanao na mimi pia na familia yangu tunaungana na nyinyi siku hii ya leo ya kumbukumbu ya kifo cha kaka yangu Mzee Mwaipaja. Tunamuomba Mungu aliye Bwana wa Mabwana na Mfalme wa Wafalme aendelee kupumzisha kwa amani. Amen. Na nyie pia tunawaombea katika Jina la Kristo muendelee kuwa na moyo wa subira na Bwana Yesu awape moyo wa nguvu wa kuendelea na shughuli zenu za kila siku kwa uwezo ya Roho Mtakatifu. Amen.
ReplyDeleteKwa niaba ya Familia ya Mwaipaja napenda kukushukuru Balozi Tsere kwa ujumbe wako wa kututia faraja. Mungu akubariki.
ReplyDeleteMungu aendele kumpumzisha kwa amani mzee wetu Mwaipaja.Amani na iwe kwenu nyote rafiki zangu tony, ivan, ipyana na family yote.
ReplyDeletemanzee.
Naomba kuuliza huyu mzee Mwaipaja ndio baba yake na marehemu Agnes Mwaipaja?.
ReplyDeletePoleni sana kwa kuondokewa na mtu muhimu katika familia,mungu ampumzishe kwa amani,Amina.