Hapa ni Mutukula mkoani kagera ambapo kwa juu kule linaonekana kanisa lililopigwa mizinga na majeshi ya Uganda yaliyoongozwa na Iddi Amini wakati wa vita ya Kagera.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. hapo ni Kyaka na wala si Mtukula

    ReplyDelete
  2. Ankal Michuzi, nijuavyo mimi hapo sio Mutukula bali ni Kyaka, njiapanda ya kwenda Mutukula na Karagwe ukitokea Bukoba Mjini. Tafadhali wadau naomba mnikosoe kwa uelewa wenu.
    Mdau Erik-Dare es Salaam.

    ReplyDelete
  3. Michuzi nimeikuta hii e mail inazunguka nimeipenda tafadhali share na wengine.
    ''Msiniulize nimefikiria nini mpaka kupendekeza maneno haya ya wimbo wetu wa taifa.
    Kila siku tunaimba "Mungu Ibariki" lakini baraka zote tunazopewa zinamezwa na wala-ziada wachache wenye madaraka na vyeo. Wale wasioiona hiyo ziada lakini wana vyeo wanakula rushwa left, right and centre. Mtu wa chini ukitoa malalamiko unakandamizwa na kutishiwa usalama wako. Iliyobaki kwa walala hoi ni hofu na kulalamikia kichinichini. Wanaogopa wakilalamika kijuu-juu hata kile kinachodondoka kutoka mezani kwa wala-ziada watakikosa. Napendekeza maneno ya wimbo wetu wa taifa yabadilishwe kama ifuatavyo:

    Fungu la 1.
    Mungu ibadili Afrika
    Wabadili viongozi wake
    Hekima umoja na ukweli
    hizi ni ngao zetu
    Afrika na watu wake

    Ibadili, Afrika
    Ibadili, Afrika
    tubadili, watoto wa Afrika

    Fungu la 2.
    Mungu ibadili Tanzania
    Wabadili viongozi wake
    Hekima umoja na ukweli
    hizi ni ngao zetu
    Tanzania na watu wake

    Ibadili, Tanzania
    Ibadili, Tanzania
    tubadili, watoto wa Tanzania''

    ReplyDelete
  4. he he heee, eti kanisa! utheme tu lengo lako lilikuwa kuionyesha ile bendera ya sisyemu, kwisha! bulogu ni ya kwako una uhuru wa kuchagua cha kuweka, thithi hatuna neno tutathoma tu, avae!

    ReplyDelete
  5. Ankal sins uhakika kama kanisa hilo lipo Mutukula.Nfikiri lipo Kyaka.Kama kuna wadau wanafahamu, tunaomba msaada.

    ReplyDelete
  6. IDD AMINI ALIKUWA KIBOKO. Nilifurahi alipowatoa nduki wadosi

    I think Africa needs more good Idd Aminis....

    ReplyDelete
  7. You are an idiot binti mkorofi. We need more Idd Amins like we need a bout of leprosy!

    ReplyDelete
  8. Kaka michuzi umekosea hapo ni Kyaka njia panda ya Mtukura na Karagwe na pia hapo ni kabla ya kuvuka daraja la mto Kagera

    ReplyDelete
  9. Yeah I second you bint Mkorofi. We need couple of those...we are not Xenophobic but mhhhhh

    ReplyDelete
  10. We need Amins to end ufisadi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...