TANZANIA ASSOCIATION IN EMIRATES
Karamu ya kufuturu
IJUMAA TARHEHE 27 AUGUST 2010
JUMUIYA YA WATANZANIA UAE INAWAARIFU NA KUWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE KARAMU YA KUFUTURU ITAKAYOFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 27 AGOSTI 2010 KWENYE OFISI YA UBALOZI MDOGO WA DUBAI ILIYOPO JUMEIRAH
RATIBA:
1. SWALA YA AL ASR
2. KHITMA YA BW. SEIF RAMADHAN ATHUMAN
3. MAWAIDHA YATAKAYOTOLEWA NA SHEIKH SAID BIN ALI YAQUT KUTOKA TANZANIA
4. SWALA YA MAGHRIB
5. KUFUTURU
6. KUAGANA
KW TAARIFA ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA:
1. BW. ABDULRAHMAN HUSSEIN – 0503449719 or 0509147711
2. BW. RASHID ABEID – 0506941566
3. BW. MAJID KHAMIS – 0506947493
4. BW. MBARAK AHMED – 0505817770 [ABU DHABI]
WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA KUDUMISHA MSHIKAMANO WETU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...