Habari kaka,
Asante sana kwa kuzidi kutuhabarisha hata pale tunapokosa hela ya gazeti.
Mimi ni mdau mwanamama nimeanzisha blogspot kwa ajili ya wazazi na walezi inayotoa habari, dondoo za malezi katika karne hii ya dot com, pitia ujinufaishe katika:
natanguliza shukrani,
mdau wa babies solutions.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. LIBENEKE NI POA LAKINI SASA TUNAOMBA UWEKE KWA KISWAHILI MAANA TUNASHINDWA ELEWA WENGINE PIA HII ITAWASAIDIA NA WENGINE ASANTE SANA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...