Msanii wa bongo flava Juma Nature akicheza na Lil'Kim wakati wa Fiesta katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Juma Nature akiimba na Lil'Kim

Kundi la Wanaume TMK toka shoto Mheshimiwa Temba, Chege na Kr Mulla jukwaani na wimbo wao wa 'Mambo bado'
Lil'Kim akitumbuiza maelefu waliofurika uwanjani hapo
Vijana wa kundi la Bracket toka Nigeria wakikupa 'Yori Yori'
palikuwa hapatoshi
vijana wa THT jukwaani
ngoma ya 'aldji aladji' ikioneshwa namna inavyochezwa na wenyewe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kwanini wasivue nguo tu??!! maana wakinamama jamani! ni uchi huo kabisa! maadili tena yamepotea! na kinababa wanapeeeenda kuangalia! kukemea aaaa, mnatoa mimacho kama nini sijui! tamu eeeeh? MTAKUFA

    ReplyDelete
  2. You tube please nataka kuona Nature na Lil Kim Live .. I loove Juma nature..Nilimmiss saana jukwaani..

    ReplyDelete
  3. plz tuweke video ya natural na kim !!

    ReplyDelete
  4. kaka michu kama hutapost picha ya mnato nitachukia sana. by the way huwa nanyonya picha zako za mnato naziweka kweka facebook kuwaonyesha my american friends kuwa Africa mastaa wengi wa unyamwezini wanakuja!!

    ReplyDelete
  5. Tuwekee video ya Nature and Lil Kim tuone wanaimba lugha gani kwa pamoja

    ReplyDelete
  6. seriously hayo ma leather jacket na joto la bongo mi wala sipimi si lazima kila fashion tuwemo

    ReplyDelete
  7. ndio jamani concert nzuri watu wamependeza lakini mbona JUMA NATURE katuaibisha wakati huyo LiL Kim amevaa vivazi vya SUMMER WEATHER Yeye aliokueko africa na ni joto 24hour amevaa LATHER JARKET.
    Yani kikweli ametuaibisha jamani lazima mtizame mafadhi mengine
    sorrry for interupt u....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...