Mdau akitawadha kabla ya kuingia kwenye msikiti wa Punjab
mdau akiwa mbele ya Taj Mahal

Ukitaka kiyoyozi kwenye taxi India ni lazima ulipie zaidi
Nyumbani kwa aliyekuwa waziri mkuu Mama Indira Ghandi
ndani ya nyumba ya Mama Indira Ghandi
ambako watalii kibao wa ndani na nje hutembele. Hakuna kiingilio
sebuleni kwa Mama Indira Ghandi






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Heheheheh!!!sawa bwana nakuona..mambo vipi uko??umeenda holliday au??angalia mafuriko uko,,
    dada norway

    ReplyDelete
  2. UYO MCHIZI!kwaiyo, ikiwashwa eisii, yeye pia atanufaika na kipupwe hilo. mimi abilia nitalipa 25% zaidi, halafu nitamchaji dereva taxi the same amount!

    chiaz mchizi

    ReplyDelete
  3. Nakuona Baltazar,
    tulisoma wote hapo Arusha
    you look great bro

    mdau
    Canada

    ReplyDelete
  4. Watanzania wako nyuma sana katika maswala ya utamaduni, ndio maan hii post haina comments.

    Ungeweka picha ya miguu ama paja ama titiz za akina dada by now kungekuwa na comments mia na ushee.

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...