Marehemu Andrew Pesa Igala enzi za uhai wake.

Ndugu yetu Andrew Pesa Igala amefariki Huko Washington DC Maryland tarehe 26 aug 2010, Hivyo mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kuja Tanzania unafanyika na Sasa hivi tunaomba Michango ya hali na Mali kwa ajili ya kufikisha $10,000 Ambazo ni gharama za kusafirisha mwili huo kuja Tanzania.

Kwa habari zaidi wasiliana
na
MR Prosper Sugai
Tell +819022308435
Ngoya Willy
+81 9072187118
na kwa USA wawasiliane na
Mr. Mziray
Tell no+12162350138
michango ya haraka Inatakiwa kwa ajili ya kufanikisha kufikisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania kwa mazishi, wapendwa katika jina la mungu tufanikishe msiba huu kwa kuchangia gharama za kusafirisha mwili wa marehemu.
mungu awabariki wote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. michuzi niache, mimi nikafikiri pozi, sikuangalia juu, Mungu ailaze mahali pema roho yake.

    ReplyDelete
  2. RIP,
    Lakini hawa watu huwa wanakwendaje huko?
    mbona huwa hatuchangishwi au kushirikishwa mafanikio yao.

    ReplyDelete
  3. Mbona namba za simu ni za China alafu msiba uko USA??
    Hii imekaeje michuzi!!?

    ReplyDelete
  4. Hii imekaa kisanii, wanaotakiwa tuwasiliane nao wako Japan. Msiba DC, contact ya USA Ohio.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...