Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga akibadilishana hati za mkataba wa kuwa wadhamini-wenza wapya wa Miss TZ na Mkurugenzi mkuu wa Muzasha Tours Safaris, Papaa Muzamil Katunzi wanaoshuhudia tukio hilo ni Miss Tanzania anayemaliaza muda wake Miriam Gerald, Erasmus Kwayu na Benedict Mulokozi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu mshikaji si anakipiga pale Akudo Impact? Yeah, nimeishamsikia sana. Hongera kaka.

    ReplyDelete
  2. Je, Kwanini wanume wengi wanaohusika na Mambo ya ya Miss Tz, wanafana sana na wauza Nazi wa Karikoo! Maana ukiangalia Babu lundenga, Katunzi na Mulokozi wote hivyo hivyo sura WAKASAMARA!, Ingekuwa kutangaza Biashara ya kuuza nazi au Mnazi wangefaa sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...