Najua fika nimewatelekeza wasomaji kwa muda sasa. Nimekuwa kwenye kinyang'anyiro cha kuomba nafasi za uwakilishi katika jimbo la Kigamboni.
Mwenyezi Mungu ameweza kunijalia kushinda kura za maoni katika jimbo la Kigamboni kwa kupata kura 4251. Aliyenifuatia alipata kura 2420. Mbunge aliyekuwepo madarakani alipata kura 1997.
Bado nahitaji sala na ushauri wenu katika hatua inayofuata iwapo ngazi za juu za chama kitarudisha jina langu. Tuzidi kuwa pamoja.
Mwenyezi Mungu ameweza kunijalia kushinda kura za maoni katika jimbo la Kigamboni kwa kupata kura 4251. Aliyenifuatia alipata kura 2420. Mbunge aliyekuwepo madarakani alipata kura 1997.
Bado nahitaji sala na ushauri wenu katika hatua inayofuata iwapo ngazi za juu za chama kitarudisha jina langu. Tuzidi kuwa pamoja.
Mtembelee kwenye libeneke lake:
nakutakia mafanikio mema, nafurahi sana nikiona vijana wanakuja juu katika madaraka, vizee vya ccm sasa kapumzikeni damu changa ije.
ReplyDeletekila la kheri bro.
Hongera sana Faustine...Karibu katika uwanja wa siasa,u deserve ....
ReplyDeleteRodrick Mwambene
Hongera sana Dr. Fustine.
ReplyDeleteUshauri-Kumbuka kwamba uongozi ni dhamana kutoka kwa Mungu.
Faustine,
ReplyDeleteI am lost here! chama watarudisha jina. Hii ni siasa mambo sasa. Watu uchaguwa viongozi wao chama urusisha jina? Tatizo sasa.
Vijana wamechoka kuburutwa ...Wyclef Jean to run for Haiti president.....Read the whole story here Wyclef Jean to run for Haiti president
ReplyDeleteCongratulations musee. I was praying for kijana mpya. Ntakutafuta. Nakaa Mbagala Kuu
ReplyDeleteDr Faustine, Karibu utuwakilishe Kigamboni, wewe ni msomi, kijana na unaonekana una busara, kigamboni ina matatizo mengi, barabara, huduma za afya, shule, huduma za benki, na KUBWA ni usumbufu pale ferry, kivuko kipya kikubwa kipo lakini hakitoshelezi kutoa huduma pia watu wanaokiuka utaratibu wa kiungwana wa kutofuata foleni hasa hasa walioko serikali, wastaafu, na wengine wengi! Nakutakia kila kheri upitishwe na chama chako kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu!
ReplyDeleteDr. Faustine, Daraja tu ndo issue ya wanakigamboni, kwa muda wa miaka mitano Kigamboni haijawakilishwa bungeni mbuge aliyepita alikuwa kama bubu ndani ya mjengo. Issue ya Mjimpya bado haijaeleweka na jinsi watu watakavyofidiwa ni pointi za kuomba ridhaa ya wanakigamboni, otherwise kama huna ajenda na haya ni CUF au CHADEMA.
ReplyDeleteMICHUZI KABLA HUJATAJA HAWA WASHINDI WAKUMBUSHE WATU HIZO NI KURA ZA MAONI. MAJINA YAWASHIRIKI WOTE YANAPELEKWA CCM.WANAPIGA KURA KULA NA KUCHAGUA UPYA .CCM WANAWEZA WAIKUCHAGUE kazi kweli
ReplyDeleteUNA WASIWASI JINA HALITARUDI KWANI UMETOA RUSHWA AU KUIBA KURA
ReplyDeleteMajina yote yanapelekwa CCM. Watapiga kura upya
ReplyDelete