MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MTERA YANATARAJIWA KUTANGAZWA RASMI SAA NNE ASUBUHI HII. HADI SASA HAKUNA MSHINDI ALIYETANGAZWA RASMI KATI YA WAGOMBEA MH. SAMWEL MALECELA NA BW. LIVINGSTONE LUSINDE. HABARI NDIYO HIYO...
Home
Unlabelled
NEWS ALERT: MSHINDI WA JIMBO LA MTERA KUJULIKANA SAA NNE ASUBUHI HII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
wizi mtupu !!!!!
ReplyDeleteYule ni fomer Prime minister hawezi kuangushwa kirahisi huku tayari maafisa wa usalama wa taifa na maofisa polisi wamekuja kuangalia hili jimbo Maleccela walitaka kumuonea tu mzee wa watu yeye ndiyo mshindi na tunampenda
ReplyDeleteHii Tanzania bila mizwengwe haiwezekaniki hapa ni ubabaishaji mtupu hivi zengwe linatengenezwa, we subiri baadaye utasikia kibao kimegeuka aliyekuwa chini anaongoza kwa kura nyingi sana.
ReplyDeleteHii hali haiotaweza kuvumilika itafika mahali watu watachoka na kufanya mambo ya ajabu hebu angalieni na kujifunza yanayoendelea huko Somalia au Rwanda kumbuka wanaoishi huko ni watu kama sisi ila walishachokana na sasa kila mtu anafanya vile anavyoona iatamfaa yeye na familia yake.
Mdau Japhet wa Sinza Madukani
Aisee jana nimekutana na Mwamvita Makamba pale Jack's Oysterbay. The dame is hot. She is more eye candy in person than in pictures we see here at Michuzi. Wala hana miguu ya kichama-chama kama anavyoonekana kwenye baadhi ya picha.
ReplyDeleteWataalamu wa wizi wa kura wakikutana, hali inakuwa kama hii. Tusubili fainali October!!
ReplyDeleteFedheha imemkuta mzee mzima!!!
ReplyDeleteAkubali yaishe, ampiganie kijana aingie mjengoni,
Nadhani anasikitika kwamba atakikosa kijiwe na wala si kuwatumikia wananchi
Kaka Michuzi,mtanange kuhusu jimbo la mtera status ikoje?maana naisubiri kwa hamu.
ReplyDeleteNITAKE RADHI, HIVI SASA NI SAA SITA NA DAKIKA KUMI
ReplyDeleteYale yaleeeeeeee, mh sina cha kusema
ReplyDeleteWabongo bwana ... eti Somalia sijui Rwanda ... sasa hayo mambo yanaingiaje hapa kwenye kura za CCM? Kwani matokeo yalishatangazwa? Si mmeambiwa matokeo yangetangazwa saa 4 asubuhi? Ndiyo taratibu ... haiwezekani kila mtu akajitangazia matokeo jinsi anavyotaka. ... na ndiyo maana Tanzania haiwezi kuwa Somalia au Rwanda unayoitaka wewe ... vinginevyo nenda kajinyonge ... ulitakalo wewe usilazimishe ... fuata taratibu ... ebooooo!!!
ReplyDelete