New England Umoja imeandaa show
kabambe ya kukata na shoka ya Professor Jay ...
akitumbuiza "live" katika ukumbi wa:
MELROSE MASONIC TEMPLE
326 MAIN STREET
MELROSE, Mass.
Jumamosi tarehe 7 Agosti, 2010 kuanzia saa mbili usiku mpaka saa nane usiku.
Katika shughuli ya kuchangisha fedha kwa chama cha watanzania waishio New England yaani New England Umoja.
Kiingilio ni $15.00 in advance

na $20.00 mlangoni.
Shughuli ni watu na watu wenyewe ndio mimi na wewe karibu upate fleva za kibongo mwanzo mpaka mwisho.
Kwa habari zaidi wasiliana na katibu wetu
Shughuli ni watu na watu wenyewe ndio mimi na wewe karibu upate fleva za kibongo mwanzo mpaka mwisho.
Kwa habari zaidi wasiliana na katibu wetu
bwana Salum Salum (617)308.2971
Tunatanguliza Shukran!
Isaac A. Kibodya, Esq.,
Tunatanguliza Shukran!
Isaac A. Kibodya, Esq.,
kah na wewe mthamini wako bado tu hajapata faida yake ! Rudi tu bongo !! unakosa ma nono bongo! show za uko mnalazimisha tu ku perform kwenye pub
ReplyDelete!!kah
wabongo kwa kuchonga,go Jay,usisikilize haters!!
ReplyDeletemdau USA