Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hivi vitu vinatakiwa vifanyike kila siku / siku zote za uhai wetu hapa duniani, na sio wakati wa Ramadhani tu au Kwaresma (kuepuka maovu na kutenda mema - na simaanishi kujinyima chakula siku zote, hapana). Kama watu wanaweza kujitahidi kufanya hayo yote wakati wa mfungo, bila shaka wanaweza kujikongoja hivyo hivyo na siku nyinge za kawaida - baada ya mfungo.

    Nasema hivyo kwa sababu kuna watu wakati wa Ramadhani na Kwaresma yani utawasahau, wanakuwa wanatenda mema ile mbaya, na wanaacha mabaya, wanasaidia jamii - you name it. Ila sasa Ramadhani na Kwaresma zikiisha sasa, they go back to square one, uovu kama kawa. Sasa hii kweli haifuti ule wema wao wote walioutenda? Maana si wanakuwa wanaombea mfungo uishe mapema waendelee na business zao as usual?

    Ila sio mbaya hata hiyo kujinyima wakati wa mfungo tu. Polepole ndio mwendo.

    ReplyDelete
  2. Vipi kuhusu yale mambo yale, yale, yale mambo yale. Mbona hayajaonyeshwa hapo kuwa hayaruhusiwi wakati ukiwa umefunga, au ni kwamba yanaruhusiwa?

    ReplyDelete
  3. me like it.

    ReplyDelete
  4. "Give in Charity and Help the Poor" ndiyo inayotuletea UMASKINI katika Africa.

    Watu wana-relax kwa kuwa wanajua wakiomba watapewa... Then mtoaji naye anajiongezea umaskini zaidi.

    Open Your Eyes Africa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...