Assalam Alaykum,
Ndugu waislamu Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washngton DC Metro(TAMCO) unawakaribisha na kuwajulisha kuwa tutaanza kufuturu pamoja jumammosi na jumapili hii pamoja na weekend zote za mwezi wa Mtukufu wa Ramadhani.
Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:
SAT. 08/14/10 – Spencerville Local Park
SAT. 08/21/10 – Spencerville Local Park
Adress:
Spencerville Local Park:
15701 Good Hope Road,
Silver Spring,
MD 20905-4035
XXXXXXXX
SUN.08/15/10 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SUN.08/22/10 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SUN.08/28/10 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SUN.08/29/10 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SAT.09/04/10 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SUN.09/05/10 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
Address:
Hillandale PAB - Hillandale Local Park:
10615 New Hampshire Avenue,
Silver Spring,
MD 20903
XXXXXXX
TAMCO EID DAY: SAT. 09/11/10 – Hillandale Local Park
Starting at 4.00PM
If you experience problems locating the address,
Please contact TAMCO Leadership.
At
uongozi@tamcousa.org

OR
Tamcotuwasiliane-owner@yahoogroups.com
Wenu
Iddi Sandaly
301-613-5165
Wenu
Iddi Sandaly
301-613-5165
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...