Meneja wa Kinywaji cha Redds Premium Cold, Kabula Nshimo (kulia) akimkabidhi Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald keki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Maasai Club mjini Arusha.
Miss Tanzania anaemaliza muda wake akikata keki ya sikukuu yake ya kuzaliwa huku akiwa amezunguwa na baadhi ya warembo wanaotarajia kuwania taji hilo mwaka huu.
Meneja wa kinywaji cha Redds Premium Cold, Kabula Nshimo akimlisha keki Miss Tanzania anaemaliza muda wake katika sherehe ya kuzaliwa kwa mrembo huyo iliyofanyika katika ukumbi wa Maasai club mjini Arusha.
Miss Tanzania 2009 Miriam Gerald akiwalisha keki baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 katika hafla iliyoandalia na Kinywaji cha Redds na kuanyika katika ukumbi wa Maasai Club mjini Arusha.
Meneja Mauzo wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Henry Tzamburakis (kulia) na Meneja wa Bia yaCol Redds Premium Cold, Kabula Nshimo (kulia) akimkabidhi Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald keki ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Maasai Club mjini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza: Wale wanafiki wote ambao juzi walikuwa wana-comment kwa chuki baada ya kuona wanawake wa Kitanzania wamevaa nguo za heshima mbona hawa-comment wakiona wasichana kama hawa wamevaa vimini na mavazi mengine ya 'kimagharibi' huku wakiiga 'mila na desturi' za nje? Nyinyi wanafiki matapishi yenu ya chuki hatimaye tatawapalia tu. WE'LL SEE!!!! Nostradamus.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...