OFISI zA UBALOZI WETU DUBAI NDIKO ILIKOFANYIKIA KALAMU HIYO YA FTARDUA IKISOMWA NA SHEIKH MUHIDIN BIN ABDULRAHAMANWAKATI WA MAHANJUMATI ULIPOWADIA
YOSO NAO WALIKUWEPO
SHEIKH SAID BIN ALI YAQUT AKITOA WAADH KABLA YA KUFUTURUWADAU WAKISIKILIZA MAWAIDHA
KINAMAMA NAO WAKIENDELEA NA MAHUNJUMATI
ILIKUWA FURAHA NA TABASAM KWA WOTE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa idadi ya ndugu zetu wa kitanzania waishio dubai inashangaza kuona kumbi zote mbili ni watu wachache sana waliohudhuria. Jee ni sababu gani hasa? au ndio yale yale yasemwayo? watanzania wengi nje ya nchi hawana umoja kama walivyo watu wa nchi nyenginezo?

    ReplyDelete
  2. shosti wangu mange mbona simuoni? muwekee bwana ankali acha kubana, usibane hii message

    ReplyDelete
  3. LUGHA ZA WATU MATATIZO. LUGHA YETU PIA SHIDA. HIYO NI 'KALAMU' AU KARAMU? HIVI KABLA HUJAWEKA HUMU JAMVINI MICHUZI HUWEZI KUHARIRI? AAGRRRRRRRRRRRR.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...