Salome Nancy Milembe Makani (August 26th 2000 to August 26th 2010)

Mtoto wetu, dada yetu, ndugu yetu na rafiki wa wengi, Salome unakumbukwa na wengi kwa mambo mengi sana.

Kipindi ulichoishi duniani kilikuwa kifupi sana (Jan 1978 to Aug 2000) ila maisha uliyoishi na furaha ulizowapa wazazi wako, ndugu zako, jamaa zako na marafiki zako lukuki ndio zinafanya uwepo wako katika maisha yetu kuwepo bado, tena wa nguvu.

Kuongelea sifa zako hapa, muda wala nafasi haitatosha ila kupitia furaha na kumbukumbu nyingi za furaha wakati ulipokua zawadi katika maisha yetu, tunazigeuza katika maombi na kuzidi kumshukuru Mungu kwa hii zawadi katika kipindi chote ulichokua nasi, na sasa upo nasi kiroho, tunamuomba azidi kukupumzisha kwa amani, mahala pema peponi, Amen.

Tutaendelea kukupenda, kukukumbuka na kukuombea.

Bite, Cleo, Austin, David, Toni na Misuka

Harry, Tom na Becky

Nichola, Natasha, Shola, Melody, Trinity Justine na Carren.

Family and lots of friends…

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Makaniz, we, Elly, JP, Anna & Judy are with you in our prayers. May God contiue to comfort you in all your ways.... RIP Salome...

    ReplyDelete
  2. Mungu ailaze roho ya marehemu Salome mahala pema peponi- AMEIN.

    Nakumbuka mwaka juzi mama mzazi wa Marehemu Salome alitoa maelezo ambayo kwayo binafsi nilitokwa na machozi japo sikua namfahamu marehemu Salome.

    ReplyDelete
  3. aaah Jamanii, Salome, 10 Years already! May the good Lord continue to rest you in peace.

    ReplyDelete
  4. Mungu ailaze peponi roho ya marahemu Salome, Amina!
    Tunakukumbuka sana hasa ulivyokuwa mcheshi pale Forodhani Secondary .

    ReplyDelete
  5. Siwezi kusema mengi salome ulikuwa kipenzi cha wengi na sura yako ya mvuto wa kuvutia pumzika kwa amani mpenzi tulikupenda lakini muumba alikupenda zaidi , i will always miss u dearly greetings from boston

    ReplyDelete
  6. she was a great sister and great friend and person you can count on she fear God and she will always be in everyone's heart...May your soul rest in Peace.
    Q

    ReplyDelete
  7. R.I.P Salome! Jina la bwana Lihimidiwe

    Aunt Misuka na Issa plz email me through makiromaro@yahoo.com

    ReplyDelete
  8. mungu amlaze salome mahari pema,salome hatutakusahau,ulikuwa ni queen wa africa,moa wote pamoja ni mimi ubungo fish

    ReplyDelete
  9. RIP Salome, sura yako inabeba ujumbe mkubwa sana kuhusu mwanadamu wa leo. Kuwa sisi wanadamu si chochote mbele ya muumba cha muhimu ni kuishi kama utakufa leo na kufanya kazi kwa bidii kama utaishi milele, hii ikimaanisha pamoja na kumcha mwenyezi mungu, kwani wakati ukifika hauna jinsia wala status unaondoka huku wanaokunzuunguka wakiwa bado wanakuhitaji sana kuwa nawe.

    Sura yako na tabasamu lako litamulika milele kwa tuliokuona kwenye picha na waliokufahamu physically.

    RIP

    ReplyDelete
  10. Flavia MwombelaAugust 29, 2010

    We have only your memory, dear Salome. To remember our whole life through. But the sweetness will linger forever - as we treasure the image of you. Rest in Peace baby sister!

    ReplyDelete
  11. Unable are the loved to die. For Love is immortality..R.I.P my friend.

    ReplyDelete
  12. Mubarikiwe sana nyote mlioungana nasi tena mwaka huu. We remembered her in a very special way this year. We visited an orphanage house and we were BLESSED. Imagine those kids did not know Salome but after I made an introduction speech of why we visited them .... they all cry... I also cry hahaha. Austin made a statement that we all cheered back again. Girl you live for ever...Stars do not DIE! Is true.. RIP my Girl!! Bite

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...