Mwenyekiti wa CUF na mgombea urais wa chama hicho cha wananchi Profesa Ibrahim Lipumba akisalimia wanachama wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar
Profesa Lipumba akisalimiana na Mh. Hamad mmoja
wa wanachama na viongozi waandamizi wa CUF

Sehemu ya umati wa wana CUF mkutanoni hapo

Mwana CUF akishangilia hotuba zilizokuwa zikitolewa
Kama kawaida ulinzi ulikuwepo





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kaka Michu shukran kwa kutukumbuka wana CUF tunaomba uendelee na moyo huo huo.

    Hilo nyomi hapo juu si la kawaida mwaka huu CCM wameshikwa pabaya

    ReplyDelete
  2. safi misupu kakutupa wana cuf haki yetu ya kujidai kwenye blog ya jamii

    ReplyDelete
  3. te!te!ras makunja naona leo una kofia nyeusi na bila ya gitaa mkononi kweli unapenda amani

    ReplyDelete
  4. chama kikuu cha upinzani tanzania hicho,na ni chama kinachoongoza kwa ustaarabu,wao wanamwaga sera ,hakuna propaganda za vijiweni kama vyama vyengine.

    ReplyDelete
  5. Hicho ndiocho chama chenye ilana inayowalenga wananchi haswaa.
    HAKI SAWA KWA WOTE

    ReplyDelete
  6. Hiki chama kukanyaga ikulu, labda mtume issa ashuke, hakuna chama dhaifu kama hiki, Badala ya kwenda kugombea ubunge tabora, aje awatetee wanachi wa tabora na kanda ya magharibi kwa ujumla anakalia kugombea uraisi.

    Hii ni mara ya ngapi anagombea? Hivi hana washauri.

    ReplyDelete
  7. Siasa bwana ati leo CUF-Bara chama cha kistaarabu CUF-Visiwani chama cha vurugu ukiuliza vurugu gani utaambiwa kina nguvu Pemba. Nyie mliopindua boti kule mkauwa watanzania hadi wengine kukimbilia ukimbizini Kenya sio wana vurugu?

    ReplyDelete
  8. Ukiwakuta barabarani utakuta wanasema mwenyekiti wetu msomi hivi usomi wake unamsaidia kweli manake hapati wabunge bara haimarishi chama bara kwani anajua haiwezekani kwasababu kimejawa udini na ukiritimba, Tangu kina Mapalala hawana sera. wataishjia kusema haki sawa kwa wote badala ya haki kwa waislam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...