Afisa habari wa Simba Clifford Ndimbo (shoto)
akiwa na MC wa shughuli hii Ephraim Kibonde



Mwenyekiti wa Simba wakiwa na wapenzi wa Simba

kwa picha zingine nenda michuzi-matukio
BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Afisa habari wa Simba Clifford Ndimbo (shoto)
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yule muuza nyumba na mtafutiaji watu nyumba (yule Real Estate dealer ama sijui ndio Real Estate broker), hakualikwa? Au aligoma kuhudhuria?
ReplyDeleteSimba wametuambia katika mengi watakayofanya ni kuzindua website yao... je mbona hawatuonyesha hiyo site na kama inafanya kazi ni ipi?
ReplyDeleteMdau wa kwanza sijakuelewa unamkusudia nani,lakini kama unamkusudia yusuf manji yule ni property developer,anakopa pesa kwenye mifuko ya pensheni n.k. ananunua ama kukodi plot then anaidevelop ukija kichwakichwa anakuuzia ama anapangisha,hivyo basi kama simba mnahitji huduma yake mpeni jengo lenu lile pale kkoo ambalo siku hizi mnaliita white house,badala ya kulidevelop naona mmelipaka tu chokaa nyeupe,mpeni property developer awafanyie mambo.
ReplyDeleteNawewe JOSE a.k.a. mohamed nassor "kigoma" KD Kassim Dewji hakukwambia kwamba hiyo ilikua ni simba day?sasa mbona umetuvalia jezi ya LIVERPOOL "standard chartered"?kama sio kuchanganya mambo ni nini?
ReplyDeletemdau unaeuliza website,simba utawaweza kwa usanii?waliwahi kuanzisha website miaka iliyopita basi hiyo website ilikaa miaka miwili na habari ya simba kuitoa al ahly haikuwahi kubadilishwa mpaka ikafa natural death,badala ya kujenga vyoo kwanza kwenye club yao wanaleta habari ya website
ReplyDeleteHiyo website ya simba(www.simbasportsclub.co.tz) mbona iko empty yaaani haijitoshelezi kwa contents zilizomo zaidi ya picha ya timu na majina ya wachezaji tu yaliyowekwa. Haina habari za kutosha kabisa kiasi cha kuwahabarisha wana simba mambo yahusuyo klabu. Hata ratiba ya mechi(Match fixtures) wameshindwa kuweka wakati ilishotolewa muda mrefu?
ReplyDeleteAnon 01:18Am unamuongelea Mzee Sheta? maana ni dealer mkubwa wa magomeni na TP namba one
ReplyDeleteMdau wa kwanza anamuongelea Mzee Dalali a.k.a Gego. Kwa taarifa zenye TBS nilizozipata ni kuwa Mzee Dalali hakuweza kuhudhuria kwa vile alikuwa ameenda kwa Dentist ama Daktari wa meno kwa Kiswahili.
ReplyDelete