Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Mhe. Aman Abeid Karume kulia na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, wakipitia baazi ya agenda kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichokutana leo Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kupitia na kupendekeza majina ya wagombea wa nafasi za Viti vya Ubunge, Uwakilishi na Udiwani kwa tiketi ya CCM.Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakipitia baazi ya agenda kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati hiyo kilichokutana Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya kupitia na kupendekeza majina ya wagombea wa nafasi ya Viti vya Ubunge, Uwakilishi na Udiwani kwa tiketi ya CCM waliopitishwa katika kura za maoni zilizopigwa majimboni wiki iliyopita Nchini kote. Amour Nassor VPO


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...