Afisa habari wa Simba Clifford Ndimbo (shoto)

akiwa na MC wa shughuli hii Ephraim Kibonde
Abdallah King Kibaden Mputa akipongezwa na Friends of Simba kwa kupewa tuzo ya utumishi uliotukuka kwa klabu hiyo ya Mtaa wa Msimbazi wakati wa sherehe hizo leo
Abdallah King Kibaden akiwa na Zamoyoni Mogella 'Golden Boy" na maveterani wengine wa Simba. Nyuma yao mwenye shati la mistari ni Arthur Mwambeta

Mbunge wa Sumve Mh. Richard Ndassa na Makamu

Mwenyekiti wa Simba wakiwa na wapenzi wa Simba

Green stand ikiwa imepakwa rangi nyekundu
kwa picha zingine nenda michuzi-matukio
BOFYA HAPA









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Yule muuza nyumba na mtafutiaji watu nyumba (yule Real Estate dealer ama sijui ndio Real Estate broker), hakualikwa? Au aligoma kuhudhuria?

    ReplyDelete
  2. Simba wametuambia katika mengi watakayofanya ni kuzindua website yao... je mbona hawatuonyesha hiyo site na kama inafanya kazi ni ipi?

    ReplyDelete
  3. YANGA BOMBAAugust 09, 2010

    Mdau wa kwanza sijakuelewa unamkusudia nani,lakini kama unamkusudia yusuf manji yule ni property developer,anakopa pesa kwenye mifuko ya pensheni n.k. ananunua ama kukodi plot then anaidevelop ukija kichwakichwa anakuuzia ama anapangisha,hivyo basi kama simba mnahitji huduma yake mpeni jengo lenu lile pale kkoo ambalo siku hizi mnaliita white house,badala ya kulidevelop naona mmelipaka tu chokaa nyeupe,mpeni property developer awafanyie mambo.

    ReplyDelete
  4. MANJI'S ARMYAugust 09, 2010

    Nawewe JOSE a.k.a. mohamed nassor "kigoma" KD Kassim Dewji hakukwambia kwamba hiyo ilikua ni simba day?sasa mbona umetuvalia jezi ya LIVERPOOL "standard chartered"?kama sio kuchanganya mambo ni nini?

    ReplyDelete
  5. mdau unaeuliza website,simba utawaweza kwa usanii?waliwahi kuanzisha website miaka iliyopita basi hiyo website ilikaa miaka miwili na habari ya simba kuitoa al ahly haikuwahi kubadilishwa mpaka ikafa natural death,badala ya kujenga vyoo kwanza kwenye club yao wanaleta habari ya website

    ReplyDelete
  6. Hiyo website ya simba(www.simbasportsclub.co.tz) mbona iko empty yaaani haijitoshelezi kwa contents zilizomo zaidi ya picha ya timu na majina ya wachezaji tu yaliyowekwa. Haina habari za kutosha kabisa kiasi cha kuwahabarisha wana simba mambo yahusuyo klabu. Hata ratiba ya mechi(Match fixtures) wameshindwa kuweka wakati ilishotolewa muda mrefu?

    ReplyDelete
  7. Anon 01:18Am unamuongelea Mzee Sheta? maana ni dealer mkubwa wa magomeni na TP namba one

    ReplyDelete
  8. Mdau wa kwanza anamuongelea Mzee Dalali a.k.a Gego. Kwa taarifa zenye TBS nilizozipata ni kuwa Mzee Dalali hakuweza kuhudhuria kwa vile alikuwa ameenda kwa Dentist ama Daktari wa meno kwa Kiswahili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...