KUZALIWA 17-04-1954
KUFARIKI 14-08-2010
Familia ya Marehemu LEVIS MSILLO LYARUU wa Oysterbay Dar es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa LEVIS MSILLO LYARUU kilichotokea 14/08/2010 katika hospitali ya Regency Upanga jijini Dar es Salaam.
Ibada ya kuaga mwili wa marehemu itafanyika kanisa la MT. PETRO OYSTERBAY DAR ES SALAAM kuanzia saa sita mchana tarehe 18/08/2010
Ibada ya mazishi itafanyika kanisa la MT. BERNADETHA, POROKIA YA KILEMA 19/08/2010 na kufuatiwa na mazishi nyumbani kwa marehemu IMMI Ngagu Kilema Moshi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe

Amina
R.I.P Levis
ReplyDeleteWe will miss you so much Bro, ucheshi wako kaka. Mungu aliyekuumba akakuleta duniani na kutuunganisha na wewe, sasa anakuhitaji katika ufalme wake, hakuna wa kumpinga. R.I P Brother
ReplyDeleteTutakupenda daima!!
Bk.
pole sana comfort,
ReplyDeletemungu awape nguvu wewe na mama yako ktk kipindi hiki kigumu...
Sisi tulikupenda sana lakini mwenyezi mungu amekupenda zaidi.
ReplyDeleteUpumzike kwa Amani Kaka yetu mpendwa LEVIS
La kifo kweli hakina subira. Huyu jamaa alikuwa mcheshi kwa kila mtu, jamani. Namkumbuka nilisoma naya Livingstone Secondary (now Kigoma Secondary). Huko alitokea kujifunza kuongea Kizaire , mpaka anafariki najua kuna watu walikuwa wanadhani ni M Congo,kumbe mchaga wa watu maskini. PAPA LEVIS kende malamu(Nenda salama) nasi tuko nyuma yako. Tokoya, Nzambe liboso.
ReplyDeleteFamilia ya Mbine Shayo tunawapa Pole familia ya Mzee wetu Levis na uvumilivu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Msiba. Daima tutamkumbuka na kumwombea.
ReplyDeleteMungu amlaze Mahala Pema.
Shemeji Asante kwa kazi uliyonifanyia wakati wa uhai wako sina cha kukulipa ila nakuombea mapumziko mema mpaka tutakapo onana tena siku hiyo isiyokua na jina.
ReplyDeleteNi kweli Shemeji sisi tulikupenda (pamoja na Dada yako) kwa ucheshi wako na utani wako kwa kweli ilikuwa ni furaha kuwa na wewe lakini Mungu amekupenda zaidi na sasa Ngoja tukusindikize kwenye safari yako ya mwisho KILEMA.
Mungu akulaze mahali pema Shemeji.
Ruwa Aichi.
Aminaa.