Home
Unlabelled
Twiga Stars vs Seattle Sounders Women
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Unajua sio kosa lao maana hata kaka zao hawajui mpira kwahiyo hawana mahali pa kujifunzia ila Big up sanaa
ReplyDeleteWadada mpira wanaufahamu nafikiri tatizo bado masaa yanawachanganya. Muda wanaocheza kwa kule nyumbani ni usiku wa saa 3am .Wanacheza wakiwa na usingizi mkali.Pengine wangekaa kwa muda kidogo wangezoea.
ReplyDeletewapi brother brother jamani?
ReplyDeletetumekukumbuka sana wana Nyerere FC
Yaani Kila kitu kushindwa tu.Ila ngono za kujificha ni maarufu sana na Mpira wa mdomoni.
ReplyDeleteYaani uwanjani utaona kabisaa Timu za taifa kuwa kuna amabao wameenda kutembea na wachezaji.Timu si mtu mmoja ni wote kufanya kazi.
astagafilulah haha michuzi mtafute Rick auelezee mpira ulikuwaje
ReplyDeleteTukiacha maswala ya mfumo dume, hawa kinadada wa Twiga Stars wako more comfortable on the ball kuliko Taifa Stars. Utaona kinachowashinda ni nguvu za mwili na positioning vitu ambavyo vinafundishika. Taifa star inamakosa yasiyofundishika hata kama Mourinho angekuja kuwafunza. Ukimtoa Chuji wa Yanga, wengine wanakimbia kimbia kama kuku aliyekatwa kichwa. Wote akina Ngassa ndio kucheza kwao. Hawa wadada wapo juu mno. Wapewe kocha bora na gym nzuri watafunika big time.
ReplyDeleteawajuhu hata formation ya kucheza !! wanakimbia kimbia tu kama mizoga !!
ReplyDelete