Baadhi ya warembo wanaoshiriki mashindano ya Vodacom miss Tanzania 2010 wakimpatia chandarua ya kujizuia na mbu Herieth masawe ambae amelazwa hospitani hapo ikiwa ni kauli mbiu ya malaria haikubaliki.
Washiriki wa Vodacom miss Tanzania 2010 wakimpatia chandarua Bi. Esther Tete ambae amelazwa hospitani hapo ikiwa ni kauli mbiu ya malaria haikubaliki.

Katibu wa hospital ya Marangu, Godrick Njau akikapokea vyandarua toka kwa Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kaskazini Nguvu Kamando mara baada ya kutembelea hospitalini hapo wakiwa wameambatana na warembo wanaoshiriki mashindano ya Vodacom miss Tanzania.







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. vyandarua sio solution ya kutatua malaria.


    tujaribu kutoa madimbwi ya maji machafu yanayozingira nyumba zetu.wakuu mnapoteza hela nyingi sana kwenye vyandarua badala ya kujenga misingi bora ya kupitisha maji machafu hili tusiwe madimbwi hovyo hovyo mitaani na kusababisha mbu kuzaliana.na pia bora kupulizia dawa kwenye madimbwi kuhua mayai ya mbu kuliko kuwaacha wazaliane huku tukitegemea vyandarua.


    watu na watoto wanashinda nje mda mwingi usiku je wanakuwa na vyandarua?

    ReplyDelete
  2. Jamani, Mimi nimesha fika Marangu maranyingi saana nikipeleka Watalii mlimani. sehemu za Marangu, Mamba, Mwika hakuna mbu. Please wenyeji wa sehemu hizi correct me if I am wrong. Kwa nini msizipeleke sehemu sinazo hitajika? Kama vile Same au Moshi mjini?

    ReplyDelete
  3. Nafahamu hayo maeneo kuna mbu na ndio maana vile vile kuna malaria. Usifikiri hakuna malaria huko. Huwezi kupata malaria bila mbu. Hata hivyo, rate si kubwa sana kama lower moshi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...