Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Rangi ya Gold Star jijini Dar es Salaam Kulathu Srinivasan (kushoto) akionesha kipeperushi pamoja na kutoa matokeo ya washindi kwa waandishi wa habari kipepeerushi hicho kilitumika kuwahamasisha wananchi kutumia rangi za Gold Star ambazo zimeambatana na kuingia moja kwa moja katika mchezo wa bahati nasibu ya mechi za mpira wa Kombe la Dunia uliochezwa mapema mwezi wa Julai 2010 huko Afrika ya Kusini. jumla ya washindi 35 wametanganzwa kupitia makundi matatu ambapo washindi wa5 wa kwanza wamepata shilingi1milioni, washindi kumi wamepata laki5 kila mmoja na washindi20 wamepata 250.000/- kila mmoja.mwengine ni Mkaguzi kutoka katika Bodi ya Mchezo wa Kubahatisha nchini Humudi Abdulhussein. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Humudi yuko wapi huyu mtu?alikuwa classmate wangu....dah kitambo sana. Mzee tuchekiane kaka

    lumuli Mbonile

    ReplyDelete
  2. Humudi nimemaliza naye master mzumbe dsm school of business mshikaji yupo smart sana alikuwa anatumia email hsygon@yahoo.com mcheki kwenye facebook kama nilimuona.Mdau Msc.MKt

    ReplyDelete
  3. Lumuli nichek kwenye +255715222204 or hsygon@yahoo.com
    Humudi abdulhussein nakumbuka sana KB longtime sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...