Habari ya asubuhi kaka michuzi?
asubuhi hii nikiwa naenda mzigoni kibaha nimekutana na hii ajali kibamba,mashuhuda wanadai imetokea usiku na imesababishwa na malori ya mizigo yaliyokuwa yanapishana kwenye huu mteremko,hii ni mbele kidogo ya ilipotokea ajali ile ya hiace miezi michache iliyopita.
ntarusha picha zaidi baadae kidogo.kazi njema
Mdau.
jamal -nmb
Sent from my BlackBerry® smartphone from Zain Tanzania

kaka michuzi,hapo hakuna mchawi ila uzembe wa madereva,hiyo sehemu ni mbaya sana,ila madereva wanakimbia sana regardless ya matuta yaliyopo hapo,tuamke la sivyo tutamalizika
ReplyDelete