Habari ya asubuhi kaka michuzi?
asubuhi hii nikiwa naenda mzigoni kibaha nimekutana na hii ajali kibamba,mashuhuda wanadai imetokea usiku na imesababishwa na malori ya mizigo yaliyokuwa yanapishana kwenye huu mteremko,hii ni mbele kidogo ya ilipotokea ajali ile ya hiace miezi michache iliyopita.

ntarusha picha zaidi baadae kidogo.kazi njema

Mdau.
jamal -nmb
Sent from my BlackBerry® smartphone from Zain Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka michuzi,hapo hakuna mchawi ila uzembe wa madereva,hiyo sehemu ni mbaya sana,ila madereva wanakimbia sana regardless ya matuta yaliyopo hapo,tuamke la sivyo tutamalizika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...