
Hii ni siku nilipotembelea kwa Baba wa Taifa Mwl.Nyerere. Napenda sana kutoa shukrani zangu nyingi sana kwa mtoto wa Baba wa Taifa letu, Madaraka Nyerere kwa ukarimu mwingi sana kwa kutukaribisha vuzuri sana na kutupatia huduma nzuri sana, pia kutupatia historia mbalimbali ya Mwalimu.
Kwa kweli tulipokelewa vizuri sana tena sana, tulifurahi sana sanaaa... namshukuru sana Madaraka. Hata wenzangu niliokuwa nao wamesifia sana ukarimu tulio upata. Wadau nawasihi mpatapo nafasi tembeleeni kumwenzi Baba yetu wa Taifa letu.
Asante sana Mr.Madaraka kwa ukarimu wako.
Salamu sana kwa wadau wote!
Chibiriti,
Asante sana Mr.Madaraka kwa ukarimu wako.
Salamu sana kwa wadau wote!
Chibiriti,
Cesena, Italy
KWANI HUYU JAMAA CHIBIRITI NI NANI HAPA TANZANIA AU ANA ISSUE MAANA HUWA HAISHI HUMU KILA SIKU KIBERTI NANI
ReplyDelete..kaka misupu, salaam aleykum,
ReplyDeletehivi huyu chibiriti ni nani? maana huwa nasoma tu habari zake hapa ktk blog yako, na sijamsikia muda kidogo..i wish to see him and ask him questions..
cheers
Chibiriti, Ingekuwa vizuri sana ung'evisit na bibi ajuza wa huko mnapo beba maboxiiiii
ReplyDeleteRafiki yako wa Naching'wea
chibiriti ndani ya fulanaz tunaomba ufanye mpango umtumie ankal hiyo fulanaz, manake yakwake imepaka sana
ReplyDeletechibiriti kama hujaoa tafadhli sana nakuhitaji uwe wangu, nikuite my husband wangu na we uniite my waifu wangu, ukinijibu natukutumia contact zangu fasta, yaelekea utakuwa ni mume mwema sana, michuzi hakuna kubana wala nini hapana jelaz hii ni spesheli kwa chibirirti tu!
ReplyDeleteJ.K. Nyerere hakuwa perfect kama sisi. Alikuwa na mapungufu yake, lakini hatatokea kiongozi mwingine kama huyu. J.K Nyerere alikuwa genius. Ni wapi unaweza kwenda na kujichanganya na watu wote bila kujali rangi, dini au kabila zaidi ya Tanzania? Hata majirani wetu wana admit kwa hilo. Alitufanya wote tujione wa Tanzania bila kujali rangi, kabila, au dini.
ReplyDeleteHapa kaka Chibi umetuwakilisha tusioweza kufika huko. Asante sana Genius Chibiliti kwa uwezo wako wa kuona mbali
ReplyDelete