Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Al-Hajj Aman Abeid Karume kushoto, akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad nje ya ukumbi wa nyumba ya Wananchi Forodhani mjini Zanzibar leo, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitri.
Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis, akiongoza Viongozi mbalimbali wa kitaifa kwenye Sala ya Eid El Fitri, iliyosaliwa Kitaifa leo katika Msikiti Mkuu Mwembeshauri mjini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kadhi? mbona bara imekuwa vita?

    ReplyDelete
  2. Ina maana baada ya Mfungo ni ruhusa kufanya yale tuliyojifunga kutotenda mwezi uliopita?Waislamu wenzangu nielezeni.Tusiwe wanafiki kujifanya kumjua Mola kipindi cha ramadhani na baada ya hapo tunafanya yale ya Ibilsi.

    ReplyDelete
  3. Hee! kweli huko bara kadhi ipo...na sasa wataiona ya chungu, maana wazenjibar sasa tushaungana na hatudanganyiki tena

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...