Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa Tolly S.A. Mbwette, anasikitika kutangaza kifo cha Mama Yake Mzazi, Bi Rozina Mbwette, kilichotokea jana Septemba 9, 2010 jioni kwenye hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa Profesa Mbwette huko Kimara SUCA, jijini Dar es Salaam. Maziko yanatarajiwa kufanyika Jumapili nyumbani kwa marehemu huko Irambo Mbeya.
Habari ziwafikie:
1. Mtoto wa Marehemu , Blandina Mbwette aliyeko Ujerumani
2. Ukoo wote wa Mbwette popote walipo
3. Ukoo wote wa Mponzi popote walipo

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...