Dk. Bilal na mkewe Bi Zakia Bilal wakiwasalimia wananchi wa Wilaya ya Ngara, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Luganzo kwa ajili ya kuanza kampeni za kuinadi Ilani ya CCM Mkoani Kagera.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huku ndo tulipotoka.Dah nimepakumbuka home kweli.Kuna siku ntarudi nyumbani.Dk Remmy alisema "nyumbani ni nyumbani hata kukiwa kubaya au kuzuri"

    ReplyDelete
  2. Kagera kwa wasomi ccm kwani imeenda shule

    ReplyDelete
  3. hivi Dr bilal ana miaka mingapi??? anaonekana amechokaaaaaa

    ReplyDelete
  4. hivi Dr bilal ana miaka mingapi??? anaonekana amechokaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...